Recent content by Kiriku

  1. Kiriku

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri anapokuwa msemaji wa BASATA

    Huyo hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi
  2. Kiriku

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri anapokuwa msemaji wa BASATA

    Huyo lazima ampe kiki si katoka jela kwa msamaha wa boss
  3. Kiriku

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri anapokuwa msemaji wa BASATA

    Huyu atakuwa na bifu na wasanii si bure
  4. Kiriku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume chagueni wanawake wanaojielewa unapoamua kuchepuka

    Wanashoot bongo movie[emoji12][emoji12][emoji12]
  5. Kiriku

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Nitakupata tu

    Inna Lillah wa Inna Illah Rajiuum Ibra[emoji24][emoji24][emoji24]
  6. Kiriku

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Kifo cha mwanaJamiiForums mwenzetu Ibra87, mtunzi wa riwaya inayopendwa "Nitakupata tu"

    Inna Lillah wa Inna Ilah Rajiuun[emoji24][emoji24][emoji24]
  7. Kiriku

    JamiiForums Tanzania Picha za umbo kali la Wema Sepetu zinavyochanganya akili za watu Instagram

    Tena yakichanjuliwa yanatoa chuma chakavu
  8. Kiriku

    JamiiForums Tanzania Lissu, Zitto na Magufuli ni wazalendo wa kweli wa nchi hii..

    Umechambua vizuri sana kwani kila binaadam ana mapungufu yake ila hao uliowataja wamethubutu wanatakiwa kuungwa mkono kwa maslahi mapana ya Tanzania yetu mpya.
  9. Kiriku

    JamiiForums Tanzania Anayefurahia kinachoendelea Dodoma ajipime kwanza!

    Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe
  10. Kiriku

    JamiiForums Tanzania Watanzania bila kujali vyama vyetu tushikamane kumdhibiti Sizonje. Vinginevyo......

    Kweli kabisa mkuu sijui tumelogwa na nani?
  11. Kiriku

    JamiiForums Tanzania Watanzania bila kujali vyama vyetu tushikamane kumdhibiti Sizonje. Vinginevyo......

    Mkuu naungana na wewe 100% tulisema JK ni dhaifu tunataka raisi mwenye maamuzi magumu amekuja tunaanza kulia lia tena sijui tunataka nini?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
  12. Kiriku

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Gambo amrithi Makonda

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  13. Kiriku

    JamiiForums Tanzania 'MTIHANI MKUBWA' anasimulia mwanasiasa Julias Mtatiro

    Inna Lillah wa Inna Illah Rajiun M/Mungu akupeni nguvu kwenye kipindi hichi kigumu
  14. Kiriku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wengi wazuri huwa hawadumu kwenye ndoa?

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu hapo umenena
  15. Kiriku

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu wa CHADEMA kufanya mambo kienyeji na ubabaishaji, kushika Dola tusahau kabisa

    Gia za angani ndio zinaimaliza Chadema wenye akili wanaelewa.
Back
Top Bottom