hahahaha Pascal umeamua hahahahaahahahaNani kakudanganya kuwa kunamabadiliko? . Hakuna mabadiliko yoyote. Makonda kaletwa na Mungu na ni Mungu tuu ndie atamtoa.
Kama ni kuhusu hizi tuhuma, hakuna kitu hapo kwa sababu Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
Na pia tumeisha mpongeza Magufuli kwa kuzipuuzia Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!
Labda kama Makonda angekuwa ni mtu mwingine tuu, lakini kwa vile ni...
Mtasubiri sana! .
Paskali