Anayefurahia kinachoendelea Dodoma ajipime kwanza!

Hivi mleta mada yaliyowatoke akina lema lissu lijualikali ulikuwa hapa tz au ulikuwa ughaibuni? Kwa hiyo ccm walipoparulana huko Dom ndo umeona muda muafaka kwamba Haifa linaenda kubaya? Kwa wanaccm ndo wanathamani na hawastahili kutendewa mabaya ila wakifanyiwa akina lissu upo kimya kama marehem ukome kuleta mada za kiboya yaani mimi nilikuwa natamani hata mmoja angetolewa koromeo ili waimbe vizur ule wimbo. Yaani huo ugomvi mimi umenifanya leo nigonge mvinyo na ikiwezekana watenguane na viuno maana mi sioni faida ya uwepo wa hicho chama zaidi ya hasara
 
hamkuona yaliyokuwa yanawaandama wapinzani?mlifikiri mla watu anabagua mnofu?
 
Watajuana wenyewe hatutakuwa wa kwanza kugawana fito mjomba na sisi sio malaika

Wacha wapasuane
 
Breaking News. MBUNGE hatari/bingwa wahoja/mjanja mjanja Mh.zito zuberi kabwe AMETIMULIWA chadema kwa kosa la usaliti kwa chama kwa kitendo cha kutaka kumpindua mh.ziro aka mbowe nakugombea urais halmashauri kuu imepitisha kwa kauli moja bwa zito afukuzwe.
 
Hiyo ni picha yako mwenyewe wala haina ukweli hata kesho sio tu siku zijazo, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50, kufukuzwa hao wahuni wachache ndani ya ccm unadhani ni hatari kwa chama? Kama unawaza hivyo unajidanganya mkuu, kuna watu walishafanya CCM ni taasisi zao na familia zao na rafiki zao! Sasa Mwenyekiti Magufuli anataka kukifanya chama kiwe huru na kila mtu aheshimike kwa uwezo wake wa kichwani na sio hela!
Unaakili ndogo mkuu unafikir upande mmoja tu tanua akili na msio maana kuna kiti kinaitwa fikiri nje ya box , sizungumzii matokea ya ccm baada ya hili ,,
 
Breaking News. MBUNGE hatari/bingwa wahoja/mjanja mjanja Mh.zito zuberi kabwe AMETIMULIWA chadema kwa kosa la usaliti kwa chama kwa kitendo cha kutaka kumpindua mh.ziro aka mbowe nakugombea urais halmashauri kuu imepitisha kwa kauli moja bwa zito afukuzwe.
Ujinga mtupu ,umajifedhehesha tu kwa ujinga wako kweli una akili ndogo mkuu naomba nikwambie bayana kabisa bila kificho wewe ni mjinga.tema akili za kitoto kanisa hizi
 
Hii ni dalili mbaya kwa taifa tena mbaya sana na anayefurahia akiamini kuwa ni la ccm wacha wababuane wenyewe ana haja ya kujipima maana haifikirii kesho yake,
Napata picha mbaya siku za usoni.
Hakuna haha ya kujipima wakati inajulokana
Siku za usoni sizonje atabaki na Bashite.
 
Hii ni dalili mbaya kwa taifa tena mbaya sana na anayefurahia akiamini kuwa ni la ccm wacha wababuane wenyewe ana haja ya kujipima maana haifikirii kesho yake,
Napata picha mbaya siku za usoni.

Kwamba mtu anasafisha nyumba yake we unahangaika......Hatari!
 
Ujinga mtupu ,umajifedhehesha tu kwa ujinga wako kweli una akili ndogo mkuu naomba nikwambie bayana kabisa bila kificho wewe ni mjinga.tema akili za kitoto kanisa hizi

Jibu hoja " Ujinga unatoka wapi tena", unachotakiwa ni kumuelewesha...Kwani Zitto hakufukuzwa kwa kukiuka maadili ya Chadema, ???
 
Hivi mleta mada yaliyowatoke akina lema lissu lijualikali ulikuwa hapa tz au ulikuwa ughaibuni? Kwa hiyo ccm walipoparulana huko Dom ndo umeona muda muafaka kwamba Haifa linaenda kubaya? Kwa wanaccm ndo wanathamani na hawastahili kutendewa mabaya ila wakifanyiwa akina lissu upo kimya kama marehem ukome kuleta mada za kiboya yaani mimi nilikuwa natamani hata mmoja angetolewa koromeo ili waimbe vizur ule wimbo. Yaani huo ugomvi mimi umenifanya leo nigonge mvinyo na ikiwezekana watenguane na viuno maana mi sioni faida ya uwepo wa hicho chama zaidi ya hasara
Tuliza akili mkuu taratibu utaelewa maushui , siihurumii ccm nalihurumia taifa OVER
 
Hii ni dalili mbaya kwa taifa tena mbaya sana na anayefurahia akiamini kuwa ni la ccm wacha wababuane wenyewe ana haja ya kujipima maana haifikirii kesho yake,
Napata picha mbaya siku za usoni.
Ni wasiwasi wako nchi iko salama na hii ni lazma itokee ili maamuzi ya chama yaheshimiwe
 
Jibu hoja " Ujinga unatoka wapi tena", unachotakiwa ni kumuelewesha...Kwani Zitto hakufukuzwa kwa kukiuka maadili ya Chadema, ???
Tatizo ni kuleta habari zilisho kwisha pita kama mpya wakati tunajadili habari mpya hapo ndipo ujinga wake ulipo
 
Back
Top Bottom