Recent content by KIRIKIOU

  1. K

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Wadau leo nahis kukesha yani kama nasubiria mwaka mpya. Sema kuna kitu bado skielew, matokeo ya awali nci yepi na rasmi ni yepi! Kwani yale yanayobandikwa kituoni sio matokeo rasmi?
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa na mwanaume wa aina hii kwenye mahusiano ni raha sana

    ILA HAKUNA MTU ALIYEKAMILIKA...UNAWEZA UKAMPATA WA HIVYO NAE AKAWA NA KASORO FULANI MBAYA(GOD forbid). BUT KILA LA HERI KAMA HUJAOLEWA.
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa na mwanaume wa aina hii kwenye mahusiano ni raha sana

    NAHISI UCHOCHEZI KTK KUVURUGA AMANI YA NDOA ZA WATU KAMA SIO KUKATISHANA TAMAA HASA KWA MTU AMBAYE TAYARI KESHAOLEWA NA MUMEWE/MPENZI SIO KATI YA the said man above.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tutaarifiane kuhusu community health

    ha ha ha ha! Mambo ya safina ya nuhu sio!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tutaarifiane kuhusu community health

    Mkuu bora hata umeanzisha uzi. Wote tulioomba hiyo kozi tupate sehemu ya kupata taarifa muhimu. Mimi ukurasa wangu kila nikiangalia naambiwa bado wako kwenye mchakato
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola, once a police always a police

    sioni kitufe cha "like"
  7. K

    JamiiForums Tanzania PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

    jean claude uko wapi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaotaka kusoma PCB au CBG

    USHAURI NI MZURI MKUU, ,,YOTE YANWEZEKANA, LAKINI SASA, UZURI WA ADVANCE INA KUWA KAMA SHORT-CUT FULANI YA KWENDA DEGREE, KIKUBWA UNATAKIWA KUSOMA KWA BIDII SANA, "PENYE NIA PANA NJIA" KUHUSU DIPLOMA, KUNA UWEZEKANO MKUBWA WA MTU KUBWETEKA AKISHAAJILIWA, HALAFU PIA KWA KOZI ZA AFYA ZINA...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Chuo kizuri cha Serikali kuaply Medical Doctor

    EMBU KABLA HATUJAENDA MBALI,, HIVI, MD= MEDICAL DOCTOR au MD=MEDICAL DEGREE??
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini usajili wa watahiniwa wa ACSEE utaanza?

    Mi najua kwa watahiniwa wa kujitegemea (private candidates)usajili ulishaanza kuanzia julai na ilikuwa mwisho septemba bila fine 50000. Kwa sasa utalazimika kulipia pamoja na fine jumla 65000, mwisho wa usajili ni oktoba hii tarehe 30
  11. K

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kuhusu salary slips atujuze

    Fuatilia makao makuu ya mwajiri wako. Au kama kuna mtu unamfaham huko, mtumie check namba ili akusaidie.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mzuri Hachagui Somo Lakufundisha

    Sasa kwa kuwa, tayari alishamrudishia sh.200,,na bado alikuwa anadaiwa 200,, basi atakuwa amemzidishia sh 400.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kama scientific calculator ni original?

    Kwahiyo njia ipi ni sahihi?
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera mdau xiexie kwa kupata jiko

    A new and sweet chapter of your life has begun today. May you two always stay together in love. Congratulations on your first big step together, And wishing you a wonderful life.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Big results now...nahisi kuna tatizo kubwa sana hapa

    Hakuna kitu hapo!!! Bora rais nyerere(brn)
Back
Top Bottom