Ushauri kwa wanaotaka kusoma PCB au CBG

ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,121
5,332
Wamajamvi salaam kwenu wakuu.
Mwezi wa saba wanafunzi wengi wataanza masomo ya Advance. hata kama sio wewe yawezekana akawa ni rafiki yako, ndugu yako au hata mtoto wako anataka kaja kuwa DAKTARI au MFAMASIA basi ni vyema kujua hali ya kitaaluma ya shule utakayopangiwa.
ninamaanisha kuwa kuna watu wengi waliofaulu vizuri form 4 lakini wakafeli vibaya form6 au kuwa ufaulu finyu.
wanafunzi wengi wa science A level wanategemea tuition na wanafaulu kupitia huko. Shule nyingi walimu hawafundishi vizuri na pia unakuta hata vitabu husika maktaba havipo.
sasa mzazi anaingia gharama kumnunulia mwanaye vitabu na ada za tuition ambazo ni ghali si kama vya O Level.
ni mazingira ambayo nimeyaona mwenyewe pindi nikiwa shuleni lakini na kusikia malalamiko kwa watu wengine ambapo licha ya jitihada nyingi wengi wameishia kufeli.
Science sio mchezo hasa PCB japo tumetofautiana uwezo kiakili.

ukiona tangu umeingia Form 5 umesoma miezi 7 (mpaka mwakani mwezi wa tatu) lakini ufaulu wako unasua sua achana na hiyo shule. .maana huko unakoenda ndio kugumu zaidi. SURELY
MTU HUYO NINAMSHAURI AKASOME DIPLOMA YA COURSE ANAYOIPENDA MFANO CLINICAL MEDICINE ukutoka huko unapata kazi na pia unaweza kwenda kusomea degree ya MD- UDAKTARI/ MEDICAL DOCTOR.
wengi wanaosoma PCB au CBG wanapenda kuwa madaktari lakini sio siri shule huwa zinazima ndoto za wengi.Mtu anasoma kwa bidii lakini bado anafeli. Sasa kuliko kupoteza muda wa miaka miwili na pesa ni vyema kujaribu Diploma.
Sijui ugumu wa diploma lakini wengi wanasoma wanasema kuna unafuu.

jamani ni ushauri tu maana nimeona wengi wa dizaini hiyo walivyopata shida.
Kusoma diploma haimaanishi umefeli ni njia mojawapo tu ya kuelimika na kufaidi matunda ya elimu yako.
Tafakari mara mbili kisha kuchua hatua.

Nawasilisha.
 
USHAURI NI MZURI MKUU,
,,YOTE YANWEZEKANA,
LAKINI SASA, UZURI WA ADVANCE INA KUWA KAMA SHORT-CUT FULANI YA KWENDA DEGREE, KIKUBWA UNATAKIWA KUSOMA KWA BIDII SANA, "PENYE NIA PANA NJIA"
KUHUSU DIPLOMA, KUNA UWEZEKANO MKUBWA WA MTU KUBWETEKA AKISHAAJILIWA, HALAFU PIA KWA KOZI ZA AFYA ZINA GHARAMA KUBWA, si UNAJUA TENA DIPLOMA HAKUNA HATA MIKOPO YA HESLB, SASA KWA WENZANGU NA MIMI, WATASOMAJE?
USHAURI WADOGO ZETU:
KAMA UMEBAHATIKA KUCHAGULIWA KWENDA ADVANCE.,TAFADHALI, SOMA KWA BIDII, NI SHULE NGUMU ZAIDI YA DIPLOMA KAMA UTALETA MCHEZO.
BUT INAWEZEKANA.!!
PENYE NIA PANA NJIA.
 
Wamajamvi salaam kwenu wakuu.
Mwezi wa saba wanafunzi wengi wataanza masomo ya Advance. hata kama sio wewe yawezekana akawa ni rafiki yako, ndugu yako au hata mtoto wako anataka kaja kuwa DAKTARI au MFAMASIA basi ni vyema kujua hali ya kitaaluma ya shule utakayopangiwa.
ninamaanisha kuwa kuna watu wengi waliofaulu vizuri form 4 lakini wakafeli vibaya form6 au kuwa ufaulu finyu.
wanafunzi wengi wa science A level wanategemea tuition na wanafaulu kupitia huko. Shule nyingi walimu hawafundishi vizuri na pia unakuta hata vitabu husika maktaba havipo.
sasa mzazi anaingia gharama kumnunulia mwanaye vitabu na ada za tuition ambazo ni ghali si kama vya O Level.
ni mazingira ambayo nimeyaona mwenyewe pindi nikiwa shuleni lakini na kusikia malalamiko kwa watu wengine ambapo licha ya jitihada nyingi wengi wameishia kufeli.
Science sio mchezo hasa PCB japo tumetofautiana uwezo kiakili.

ukiona tangu umeingia Form 5 umesoma miezi 7 (mpaka mwakani mwezi wa tatu) lakini ufaulu wako unasua sua achana na hiyo shule. .maana huko unakoenda ndio kugumu zaidi. SURELY
MTU HUYO NINAMSHAURI AKASOME DIPLOMA YA COURSE ANAYOIPENDA MFANO CLINICAL MEDICINE ukutoka huko unapata kazi na pia unaweza kwenda kusomea degree ya MD- UDAKTARI/ MEDICAL DOCTOR.
wengi wanaosoma PCB au CBG wanapenda kuwa madaktari lakini sio siri shule huwa zinazima ndoto za wengi.Mtu anasoma kwa bidii lakini bado anafeli. Sasa kuliko kupoteza muda wa miaka miwili na pesa ni vyema kujaribu Diploma.
Sijui ugumu wa diploma lakini wengi wanasoma wanasema kuna unafuu.

jamani ni ushauri tu maana nimeona wengi wa dizaini hiyo walivyopata shida.
Kusoma diploma haimaanishi umefeli ni njia mojawapo tu ya kuelimika na kufaidi matunda ya elimu yako.
Tafakari mara mbili kisha kuchua hatua.

Nawasilisha.

Daaa kakaaa nimekuelewaa sanaa sanaaa
 
Nachoshauriii kwambaa form 6 inasaidiaa sanajamanii asikatishee na nawasihii wasiishiee form 4 waende six wafauluu yaanii wasipate 4 na 0 sababuu nii hivi"degree wanataka 2 principals za biology na chemia alafuu na diploma yako ndovigezo vya kilachuo ukifuatilia tcu guidebook ilikuondokana na competition wanasema form 6 with 2 principles of either chemia or biology will be an added advantage ukichanganya na diploma yako yenye grade c na kuendelea
 
Wamajamvi salaam kwenu wakuu.
Mwezi wa saba wanafunzi wengi wataanza masomo ya Advance. hata kama sio wewe yawezekana akawa ni rafiki yako, ndugu yako au hata mtoto wako anataka kaja kuwa DAKTARI au MFAMASIA basi ni vyema kujua hali ya kitaaluma ya shule utakayopangiwa.
ninamaanisha kuwa kuna watu wengi waliofaulu vizuri form 4 lakini wakafeli vibaya form6 au kuwa ufaulu finyu.
wanafunzi wengi wa science A level wanategemea tuition na wanafaulu kupitia huko. Shule nyingi walimu hawafundishi vizuri na pia unakuta hata vitabu husika maktaba havipo.
sasa mzazi anaingia gharama kumnunulia mwanaye vitabu na ada za tuition ambazo ni ghali si kama vya O Level.
ni mazingira ambayo nimeyaona mwenyewe pindi nikiwa shuleni lakini na kusikia malalamiko kwa watu wengine ambapo licha ya jitihada nyingi wengi wameishia kufeli.
Science sio mchezo hasa PCB japo tumetofautiana uwezo kiakili.

ukiona tangu umeingia Form 5 umesoma miezi 7 (mpaka mwakani mwezi wa tatu) lakini ufaulu wako unasua sua achana na hiyo shule. .maana huko unakoenda ndio kugumu zaidi. SURELY
MTU HUYO NINAMSHAURI AKASOME DIPLOMA YA COURSE ANAYOIPENDA MFANO CLINICAL MEDICINE ukutoka huko unapata kazi na pia unaweza kwenda kusomea degree ya MD- UDAKTARI/ MEDICAL DOCTOR.
wengi wanaosoma PCB au CBG wanapenda kuwa madaktari lakini sio siri shule huwa zinazima ndoto za wengi.Mtu anasoma kwa bidii lakini bado anafeli. Sasa kuliko kupoteza muda wa miaka miwili na pesa ni vyema kujaribu Diploma.
Sijui ugumu wa diploma lakini wengi wanasoma wanasema kuna unafuu.

jamani ni ushauri tu maana nimeona wengi wa dizaini hiyo walivyopata shida.
Kusoma diploma haimaanishi umefeli ni njia mojawapo tu ya kuelimika na kufaidi matunda ya elimu yako.
Tafakari mara mbili kisha kuchua hatua.

Nawasilisha.

Mkuu sasa hivi kuna restriction nyingi sana Za KUSOMA md kupitia co kama huna Walau cheti cha 6 . Utapata vikwazo sana
 
ni bonge la ushauri mkuu wakati mwingne advance inapoteza sana ndoto za wanafunzi nakumbuka kuna raafik yangu alikuwa pcb .tulipoingia form 6 akaanza kujiita dokta kabla hata hajafanya necta na kiukweli alikuwa anapenda sana hyo fani.baada ya kufanya paper akaamb ulia S' 4 na E moja
 
Kwa kombi za sayansi kufaulu inategemea na shule unayosoma na bidii yako

ni kweli mkuu bidii. Kuna mdada mmoja form4 alipata one, form 5 akapangiwa shule kijiji fulani huko Nkansi, shule walimu wakuna mtu akifaulu necta basi ana IV, mazingira kama hayo wala sio ya kusubiri uone miujiza bora kuhama mapema
 
ni bonge la ushauri mkuu wakati mwingne advance inapoteza sana ndoto za wanafunzi nakumbuka kuna raafik yangu alikuwa pcb .tulipoingia form 6 akaanza kujiita dokta kabla hata hajafanya necta na kiukweli alikuwa anapenda sana hyo fani.baada ya kufanya paper akaamb ulia S' 4 na E moja

heee pole zake. . . wengine toka form5 wanajiita madokda ikifika mock na pre necta taratibu wanaanza kufikiria ualimu
 
nlisoma PCM ila nliapa sintasoma sayansi tena maisha namshukuru Mungu nimelifanikisha
 
Back
Top Bottom