Mwalimu Mzuri Hachagui Somo Lakufundisha

Mwalimu Mzuri Hachagui Somo Lakufundisha

kakota

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
266
Reaction score
59
Walimu Tusilazimishane Masomo Kama Siwezi Mahesabu Nipe Haiba Na Michezo.Mwalimu Mmoja Alilazimishwa Kufundisha Hisabati Tena Darasa La Saba . Wakati Hesabu Kwake Ni Mama Mkwe.Haja Kasawa Kaletewa Swali Na Mwanafunzi Swali Lenyewe Hili Hapa^ ,,,,Amina Alinunua Viatu Kwa Tsh 3500 Na Vocha Ya 500 Alitoa Noti 76 Za Shilingi Hamsini Na Kurudishiwa Tsh 200 Je Mwenye Duka Alimzidishia Shingapi? .,,,,,kama Wewe Ungeletewa Swali Hili Ungelijibuje?
 
200, hakupaswa kumrudishia chochote, badala yake Amina ndo alipaswa kumpatia muuza duka sh 200 zaidi, kwa sababu awali alilipa sh 3800 jumla wala viatu na vocha vligharimu 4000.
 
Sasa kwa kuwa, tayari alishamrudishia sh.200,,na bado alikuwa anadaiwa 200,,
basi atakuwa amemzidishia sh 400.
 
Sasa kwa kuwa, tayari alishamrudishia sh.200,,na bado alikuwa anadaiwa 200,,
basi atakuwa amemzidishia sh 400.

Asante Mzazi Sasa Jibu Ni 400 Au 200,,maana Mkuu Moja Hapo Kasema 200 .
 
Amemzidishia sh 400. Ametoa sh 3800 na ilibidi alipe sh 4000, hapo ni deni la sh 200 + 200 tena aliyopewa kama chenji yake jibu ni 400 sh
 
Back
Top Bottom