Kangi Lugola, once a police always a police

Kangi Lugola, once a police always a police

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,338
Reaction score
56,115
kkkk.jpg


Sio mpaka mtu afe ndio asifiwe!

Huyu jamaa katika bunge lilipita alikuwa ni miongoni mwa wabunge waliokuwa wakijenga hoja kupitia mizaha lakini ujumbe ulikuwa unafika. Kkama mgeni toka nje angeingia nchini na kumuona akichangia angedhani ni mbunge wa upinzani.

CV yake inaonyesha aliwahi kuwa askari polisi kama Deo Filikunjombe. Nathubutu kusema katika Bunge lililopita wabunge wa CCM waliokosha watanzania kwa kutetea maslahi ya umma bila kujali chama ni huyu bwana.

Tanzania ukiwa mtu wa kufuatilia fuatilia unaitwa mnoko, na polisi wengi huitwa wanoko, ila unoko wa polisi ndio unaofanya tulale kwa amani huku uswahilini kwetu.

Unoko wa Kangi Lugola una maslahi kwetu wanyonge..
 
Back
Top Bottom