mimi nina Impreza WRX STI, kwa kweli ina undugu na petrol stations. lakini ni gari ya uhakikaaa ukiendesha una feel kweli unaendesha gari kitu manual 6 speed. top speed 260 :dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance:
mkuu nenda mlimani city Game super mkt mwisho upande wa kushoto karibia na vifaa vya mazoezi zipo za kisasa kama tunazoziona kwenye michezo super sport, but sikuulizia bei
mkuu kilo 20 ni standard, mkuu unataka upande hadi na viroba vya ndizi au unapeleka mchele kilo 50 moshi ambao tofauti ya bei kwa kilo moja dar na moshi ni Tsh 100! acha kuishi kwa mazoea boss. hawa jamaa ni wakombozi kwetu
ukikaa bar jirani na m.city wanakuambia zimepigwa m.city ila ukitaka kuwa-trace nenda bar yoyote either meeda au kifumbu lazima wapite kigiza kikianza kuingia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.