Kwani kalazimishwa mtu kununua?kama unaona haifai kwako piga kimya atakae pendezwa nayo atasema.
Duh itakua ni yeye kainunua 2010, sasa anaiuza!!
Kanunua mwaka 2010 na namba T___CVB??Duh itakua ni yeye kainunua 2010, sasa anaiuza!!
Toyota carina (2010) iko sokoni Tsh.Ml.10 insurance imekatiwa ushuru kila kitu safi kwa matumizi Pm kwa aliyeko tayari.
Dada upo sahihi Ti ndio bei zake