HUGO CHAVES
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 2,045
- 551
piga kazi saa unazomkuu si unajua tena gharama zinaendana na wapi unachukua mzigo!!!!
piga kazi saa unazomkuu si unajua tena gharama zinaendana na wapi unachukua mzigo!!!!
@Tram zina uwezo wa kubeba meno ya tembo bila kuonekana hadi HONGKONG?
mkuu saa sina,ila nikiona watu wana interest naweza zitafuta kiongozi!piga kazi saa unazo
Ndiyo na nimeskia zinatumia vitu vizito kuua..magamba wameshaoda tayari..!Zina bastola?
mkuu unaharibu biashara za watuhii kitu iko pale samora freedom communication kwa garama ya elfu 80 tu ya 2 gb,wana bizaa nyingi za security kuna pia saa za mkononi,za mezani za ukutani na tai za camera.tembelea pale ujionee ila sina huwakika kama bado zipo maana ni mda sana nilitembelea pale kama mwezi wa 4 hivi
hii kitu iko pale samora freedom communication kwa garama ya elfu 80 tu ya 2 gb,wana bizaa nyingi za security kuna pia saa za mkononi,za mezani za ukutani na tai za camera.tembelea pale ujionee ila sina huwakika kama bado zipo maana ni mda sana nilitembelea pale kama mwezi wa 4 hivi
cheki pm mkuuView attachment 72644View attachment 72650ni laki na hamsini tuuuuu,,kwa wabunge ,madereva wanaoombwa rushwa,wanasiasa,na waandishi wa habari
Unaua dili la mshikaji mtoa mada mkuu!! Ye kashapata wateja wake wa Tshs 150,000/= we unakuja unawaonyesha wateja duka la Tshs 80,000/=!!!, noma sana wewe!!hii kitu iko pale samora freedom communication kwa garama ya elfu 80 tu ya 2 gb,wana bizaa nyingi za security kuna pia saa za mkononi,za mezani za ukutani na tai za camera.tembelea pale ujionee ila sina huwakika kama bado zipo maana ni mda sana nilitembelea pale kama mwezi wa 4 hivi