Recent content by Kiranja wa Kijiweni

  1. K

    Mikopo ya Mabenki kwa Watumishi

    Sio kweli, mimi ni mmoja wa wanufaika wa mkopo wa CRDB, kipindi nakopa interest ilikuwa 13%
  2. K

    Nataka kuagiza VW Touareg V6

    TRA inasoma 10,900,000 kuna gharama zingine ili nisijichanganye nikashindwa kulitoa bandarini
  3. K

    Nataka kuagiza VW Touareg V6

    Mkuu nikiwa na milioni 26 naweza kulipata hadi mkononi la mwaka 2007, < 100000km CIF ikiwa $6000, nikiwa na 26
  4. K

    Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

    Ila wewe Jamaa kama vile umenipiga penyewe aisee. Holoholo, njoo unitete kaka yako
  5. K

    Msaada wa dharura mtoto 2yr anajoto kali sana mwili mzima amechemka sana

    Pole dada, mwanao atapona, Fika kituo cha Afya kilicho karibu na wewe. Ukiona mwanao ana dalili ya homa, fika kituo cha Afya. Mwanao atachomwa sindano ya kushusha Joto.
  6. K

    Mapenzi ya mbali yanaumiza moyo sana

    Hahah, Mara yupo Kahama anafanya biashara ya hardware. Home boy sikuelewi nachoka mimi Kiranja wa Kijiweni
  7. K

    Mapenzi Iko Sawa, Pesa Hakuna: Would You Marry While Broke?”

    Kabisa Kizuri (shibela in the voice of Our beloved Magufuli)
  8. K

    “Ukifika Age, Pressure Inaingia” A Silent Crisis at Home

    We, parents, must change our thinking in order to change the thinking of our child/children. We must not rely 100% on government employment, but instead, we must create a better environment for self-employment (Agriculture, Business, etc.)
  9. K

    Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    Mkopo sidhani kama wanatoa kwa Level ya Diploma, Kama kiuchumi uko Fresh, peleka India, Kijana wako / mdogo wako ana uwezo.
  10. K

    Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    Kama Budget iko fresh mkuu, mpeleke India akasome Software Engineering au CyberSecurity and Forensics
  11. K

    Mkoa gani unaongoza kwa gharama kubwa za maisha?

    Ni hatari mkuu, Ila kumbi za starehe zinajaa balaa. Unajiuliza watu wanapata wapi fedha. Kuna usemi unasema "Usisme hatuna hela, sema sina hela"
Back
Top Bottom