dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,586
- 60,777
Nilikaa wiki tu nikanyoosha mikono juuKwakweli Maisha ya Dodoma yanatunyosha haswa, bila 3,600 (kilo ya mchele) hujala Wali, Bei ya Parachichi 3,000.
3,000 nikienda kwa wakwe Kidengyembe - Njombe napata debe la parachichi.