Nataka kuagiza VW Touareg V6

Nataka kuagiza VW Touareg V6

Nimeliona hili ndinga leo sehemu, ni jeusi afu limenakshiwa na straps nyeupe kwa madirisha.
Linawaka hatari, afu kashuka chalii mdogo tyuuh, nahisi la mzee wake lile.
Kuna vijana wanafaidi maisha asee. Lol
 
Ebhana eeh! Hilo dude ni balaa sanaa, limekaa kibabe sanaa alafu too unique.
Soon, ntalikamata before 2026 ends.
 
Wharfage- gharama ya kushushia VW Touareg bandari ya DSM kuanzia 8/3/26 ni TSh 6m badala ya Tsh 500k

Back
Top Bottom