Recent content by kipulumus

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada! dawa ya kukausha kidonda cha mwili

    Hivi wewe kiwavi jeshi zinakutosha kweli yaani mtu anaomba msaada wewe una basti tu kama daili,mbavu we.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara mpya ni 50,000/= is it a joke or something?

    Nyota Tu. Minaona Mauza Uza.
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomben ushauri katika hili

    Subiri Mimi Niende ,usije Ukaanza Kulia
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nimeshtakiwa naomba msaada

    HAPO UMENENa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kodi Imepungua kwa Tsh 1,900 tu (elfu moja mia tisa)

    Taarifa haiji toshelezi ,wamepunguza elfu moja mia tisa kivipi? Na wa Meongeza kiasi gani? Pia hii ni taarifa au tetesi ,funguka mkuu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaojiuza wanashusha thamani ya mwanamke

    HIVI kuingilia uhuru wa mtu ni kumsema hivi huoni kama hawa wanaojiuza nao wanaingilia uhuru wawatu,,,harafu suala la kulaumu wanao nunua mimi siungi mkono,kwanini ulaumu mateja badala ya mapusha,,bila mapusha mateja wangepata wapi? sembe.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaojiuza wanashusha thamani ya mwanamke

    NINA wasiwasi na wewe unaweza kuwa umevaa bkn alafu upo stendi,,
  8. K

    JamiiForums Tanzania Shule aliyopangiwa haipendi, anaweza pata uhamisho?

    Habari wana JF, naomba msaada nifanyaje, dogo alichagua comb ya cbg ila shule aliyo pangiwa ndo wana anza mwaka huu kuchukua kombi hiyo. Dogo hataki shule hiyo anaka aende Loleza, dogo ni wakike, naomba msaada namna ya kumwamisha, natumaini nitasaidiwa.
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkeo anajivunia nini juu yako?

    Demu wangu huwa ana penda jinsi ninavyo tembea kwakuwa sifanani na mtu mwingine hicho huwa kinamfanya ajione yuko juu.
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye mapenzi yameniumiza kwa mara nyingine tena!!

    pole sana ,mkuu ananikumbusha jeraha,,tena ww huja mkuta na mwanaume,sasa mm dar acha tu sitaki hata kusimulia,,,
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nimejisikia vibaya kwa kauli hii "Asante kwa kula hatuna cha kukulipa"

    JITABOY , salamu yako hapo juu mbona nikaulimbovu kuliko hata uliyo ambiwa,,maana u sema wote tulio chini ya korodani zako.sasa una kosoa wakati huohuo na wewe unafanya madudu
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single momz tunashida sana katika mahusiano

    Mwisho wasiku munaolewa wote,ebu chukulia mekeo ana mtoto wa jamaa na wewe una mtoto inatokea jamaa kampeleka mwanae kwenye shule kubwa alafu akamtuma mkeo aje akwambie kuwa kama inawezekana na mtoto wako ampeleke kwenye shule aliyo mpeleka mtoto wake mahitaji yote juu yake.je utakubali au na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Siasa za CCM, kufeli kwa Sendeka kidato cha 6, na kufeli kwa Muhongo darasa la 7

    wakiweka iweje? Sasa ,mimba yako imeiwenga chadema sijui unajifungua lini?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Siasa za CCM, kufeli kwa Sendeka kidato cha 6, na kufeli kwa Muhongo darasa la 7

    bilashaka wewe ni moja wao ,,
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nifanyeje

    Kaka nikwamba mapenzi hayana kanuni kwamba utatumia pai,no wala hayana mwalimu ,bali kuna washauri kibao ,chamsingi kama humpendi kutokana na alicho kifanya tafuta kitukitakacho kufaya uwe busy ili umsahau ikiwezekana tafuta mwingine.,.
Back
Top Bottom