Naomben ushauri katika hili

Naomben ushauri katika hili

mhilisila

Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
25
Reaction score
3
Niko katika mahusiano na mdada 1 lkn bado hatujafikia muafaka wa kutambulishana lkn wazaz wake wanataka nikajitambulishe
 
sasa kama wazazi walishajua kama mko kwenye mahusiano, yanini tena kwenda kujitambulisha?

By the way, umejiandaaje na maisha mapya ya kuwa na mke/familia?
 
Kwahyo hapa tukushauri jinsi ya utambulisho unavyokuwa ama kitu gani???
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Kwa hiyo unahitaji ushauri gani hapo?

Kama hutaki kwenda kutambulishwa basi subiri walio tayari watumie mwanya huo kukupoka tonge...
 
Subiri ufuatwe na karandinga hapo getoni kwako
 
tuko tofauti sana.. ivi hili nalo linataka ushauri??? we unampenda au ndo mnakula ujana bila malengo??
 
Mpige counter attack, kamtambulishe kwa wazazi wako.
 
Back
Top Bottom