Recent content by kipimo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Sita 2015 yametangazwa

    tutajie hata kumi za kwanza na za mwisho pamoja na hali ya ufaulu ya ujumla kwani bado hayafunguki
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kumekucha UKAWA: Lipumba kutoa msimamo wa CUF leo saa tano Asubuhi

    watulie na busara zitawale, wanaweza kupatana kuliko hii ya kukutana a waandishi wa habari, kwa busara yangu nadhani hivi vyama viwili viwe neutral ili angalau chama cha tatu kwa maana ya NCCR kiwasaidie kuteua mgombea kati ya hao wawili ambaye ana uwezekano wa kushinda na kusaidia nia kuu ya ukawa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amekiri kunisaliti

    fuata moyo wako mkuu, sehemu ya uzima wako anayo yeye, hivyo kama tayari ushaanza kupata mabaya ambayo yanaweza kupatikana kutokana na kukosekana kwa uaminifu ni bora ukafanya lililo sahihi kwa busara na moyo wako.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jaji Agustino Ramadhani, hiyo ndio CCM

    alitumia vizuri haki yake ya ki-katiba. Rais ni mmoja tu, hivyo hata kujionesha ilikuwa muhimu. Naikumbuka sana kauli ya Napoleon kuwa (literally) "dunia inaumizwa sana si na watu waovu bali na ukimya wa watu wema"!
  5. K

    JamiiForums Tanzania ASHA ROSE MIGIRO ana SPEECH TAMU SANA

    hapa mtoa mada alitaka kulinganisha hotuba hizo tatu na kwa kweli amelinganisha vizuri, Migiro alijieleza vema kuliko wote; ingawa kweli hotuba si sawa na utendaji
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

    Atabaki rais wa mawe na madaraja pamoja na magofu nchi nzima. Vinginevyo akayafute kabisa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kijana kutoka Msumbiji auawa kwa kuchomwa visu hadharani Afrika Kusini

    stop xenophobia! OOh SA, Most countries even suffered for you guys! Wish tata Madiba a peaciful rest by doing what he would think as fair to his fellow Africans
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ni kujiamini tu

    watoto ni malaika; hawajui baya hatari na raha, wnaweza kufanya mzaha hata kwenye hatari; Mungu tu anawalinda na kutia huruma ktk wale ambao wangewatesa na badala yake wakawaokoa ama kuwaonea huruma
  9. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Ukombozi hauletwi kwa maneno matamu

    watu kama hawa ndo wanafanya siasa kweli kuonekana mchezo mchafu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Joseph Haule (Profesa J) katika harakati za mapambano ya kulinyakua jimbo la Mikumi

    kila lakheri na harakati za ugombea prof J
  11. K

    JamiiForums Tanzania Risasi zarindima, Majambazi wawili Raia wa Italia watiwa Mbaroni

    mbona unawaita mbwa mkuu? hao hata kama kweli wameshiriki, bado ni binadamu, vinginevyo viumbe wote wanaofanana aina hiyo unatuambia wanaitwa mbwa!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Ya Chato

    chato kumekucha, huwezi kuzuia mvua kunyesha, maeneo yote hali si nzuri kwa ccm, kuanzia Muganza, Kibehe, Chato mpaka Buseresere, na hata Katoro CDM na ukawa wamefanya vizuri
  13. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

    hata mie wadogo zangu waliniletea bila hata ya kuwatuma cheti cha kuzaliwa wanangu.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ni nguvu ya UKAWA sio CHADEMA

    hahaha! said michael, aisee ni sheedar kweli mkuu! wakati mwingine tujifunze kukili kama mziki uchezwao kasi yake inapita mazoezi yako ili uwaachie wengine wacheze. big up!
  15. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA yaimarika nchini

    huwezi kuona kwa vile una miwani ya mbao, nalo pia umesahau!
Back
Top Bottom