Mdakuizi
Senior Member
- Dec 11, 2014
- 162
- 133
Ni ushindi mkubwa sana katika ngazi hiyo. Haikuwahi kutokea ndio maana MaCCM yamepanic.mtwara UKAWA KUTOKA ZERO HADI 53
Ova

Sijaona kuimarika kwa ukawa sijui kama pengine tuko nchi tofauti jamani.
Ni ushindi mkubwa sana katika ngazi hiyo. Haikuwahi kutokea ndio maana MaCCM yamepanic.
Ova
Sijaona kuimarika kwa ukawa sijui kama pengine tuko nchi tofauti jamani.
Kura za pamoja zikiwekwa bayana ukweli utakuwa bayana zaidi lakini pia tukumbuke hiki siyo kipimo cha uchaguzi mkuu.
Kinana anaenda kupigwa chini punde
Sijaona kuimarika kwa ukawa sijui kama pengine tuko nchi tofauti jamani.
utaonaje wakati we kipofu wa kujitakia