Jaji Agustino Ramadhani, hiyo ndio CCM

Jaji Agustino Ramadhani, hiyo ndio CCM

Wale watu walioletwa na Lowassa Dodoma,wataweza kumfuata Ili awape nauli za kuwaludisha makwao?,daah wengi itakula kwao..
mkuu mimi ni mojawapo wa walioletwa na lowasa! jamaa ametutosa hapa nimefika maktopora nachanja kwa mguu kurudi kahama!
yaani jamaa ni kigeugeu kweli kweli!
 
Sasa kama siyo huyu Jaji kuchukua fomu ya urais kupitia ccm tungejua lini kwamba kuna majaji wa Mahakama kuu na Mahakama ya rufani ambao ni makada wa ccm?!
Huo ulikuwa mpango wa Mungu kutupa ushahidi kuwa Mahakama ina makada wa chama chakavu, haki imewekwa rehani.

Umeongea vema mkuu, siri imejulikana na hivyo mapungufu ya sheria ktk eneo hilo yapaswa kufanyiwa kazi.
 
Sisi wengine hatufahamu vizuri tufahamisheni rais bora anatoka kwenye mfumo upi wa chama kipi?

Wewe ngedere kweli ccm imekulevya mpaka umepofuka mfumo wa sasa wa chama tawala ni rotten na soon uta paralyze
 
Kwa kuwa tunaye striker Magufuli...hakuna goli la mkono hapo...sikilizieni mkwaju tena kutokea nje ya 18 kimo cha mbuzi mithili ya Sunday Oliseh enzizake miaka ya 90

Diego Armando Maradona wa Argentina alikua striker mzuri kuliko Sunday Oliseh, huyu ndiye aliyepiga goli la mkono na akasema ulikua mkono wa Mungu.
 
Mkuu nikumbushe,hivi malechera Samwel alivyoteuliwa Kuwa waziri Mkuu na Mzee Mwinyi alikuwa mbunge wa jimbo gani vile?au katiba imebadirishwa?

Embu kasome katiba acha uvivu na ubishi usiokuwa na tija,kuhusu jimbo muulize kibajaji atakujibu
 
alitumia vizuri haki yake ya ki-katiba. Rais ni mmoja tu, hivyo hata kujionesha ilikuwa muhimu. Naikumbuka sana kauli ya Napoleon kuwa (literally) "dunia inaumizwa sana si na watu waovu bali na ukimya wa watu wema"!
 
humjui kikwete vizuri wewe. ukitaka kujua undani wa Kikwete waulize sitta, rostam na lowassa. hao wameonja ladha ya jamaa. namshangaa hata lowasa manguvu aliyotumia badala ya kwenda mdogo mdogo.
hao akina kimbi/kofia/chambisa walikuwa wanamuonesha bosi wao kuwa hela aliyewapa wameitendea haki. ndo maana hawakuwa na jinsi zaidi ya kwenda front kwenye media angalau kumuonesha walifurahi pamoja na sasa wanahuzunika pamoja pia. wanasiasa hao, elewa hilo.

Nani anabisha kuwa DEAL ya kupata candidate aliye mtaka MKULU imekufa bila kutegemewa?
MKULU hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam …..) WALIKUWA MALAIKA WAKE!

WANA JF hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa KUSINI alisha tayarishwa! Imekula kote yaani kwa MUKULU pamaoja na EL.
 
humjui kikwete vizuri wewe. ukitaka kujua undani wa Kikwete waulize sitta, rostam na lowassa. hao wameonja ladha ya jamaa. namshangaa hata lowasa manguvu aliyotumia badala ya kwenda mdogo mdogo.
hao akina kimbi/kofia/chambisa walikuwa wanamuonesha bosi wao kuwa hela aliyewapa wameitendea haki. ndo maana hawakuwa na jinsi zaidi ya kwenda front kwenye media angalau kumuonesha walifurahi pamoja na sasa wanahuzunika pamoja pia. wanasiasa hao, elewa hilo.

Mkuu ni zaidi ya hapo kama hujui! Sasa hivi kuna msiba ktika kambi ya mtu wa kusini na hii inakwenda ndani mpaka omukikale! Sorry for using this word!
 
Mkuu ni zaidi ya hapo kama hujui! Sasa hivi kuna msiba ktika kambi ya mtu wa kusini na hii inakwenda ndani mpaka omukikale! Sorry for using this word!
siamini haya maneno yako. Kikwete ni mtu wa ajabu sana. hata lowasa haamini kilichotokea. sioni cha ajabu kwa membe maana lowasa wametoka naye mbali.
hivi hujiulizi kwa nini hata asimstue lowasa kuwagawia hela nyie wapambe wake kuwa rafiki sitokupitisha? kikwete ni chekibob wa pale kariakoo-dar. labda huenda ukawa hujui hilo.
pole sana kwa rafiki yako kukatwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Kwako MH.Jaji najua ulishauriwa vibaya kwenda mbiombio kuchukua form ya kugombea urais wa Tanzania, ila ulisahau unagombea kupitia chama kilekile kilcho kataa katiba yenu mlioiandaa! ulikatwa mapema hata 5 bora huku iona! japo ulikuja na sera ya chema cha jiuza! imekua chema cha jiinamia kwa aibu na huzuni! pole jaji hiyo ndo ccm naona hukupima kina cha maji umeenda mzima mzima ukazama!

Nani alimshauri achukue fomu! Hopeless
 
Wale watu walioletwa na Lowassa Dodoma,wataweza kumfuata Ili awape nauli za kuwaludisha makwao?,daah wengi itakula kwao..

Hahahaha na bado wapo wanasua sua na mrija wa pesa ndio ushakatika sasa wanahitaj aende kwingine ili waendelee kukinga
 
Huyu mtu ameihujumu taasi ya sheria pamoja na kada yake yote. Kuwa jaji mkuu ni jambo ni heshima kubwa inayokupasa kutojihusisha na siasa za wazi kama huyu ndugu alizozifanya.
 
Huyu mtu ameihujumu taasi ya sheria pamoja na kada yake yote. Kuwa jaji mkuu ni jambo ni heshima kubwa inayokupasa kutojihusisha na siasa za wazi kama huyu ndugu alizozifanya.
Swali zuri sana kwani kulikuwa na habari za uhakika kuwa ''aliombwa na kuombwa'' kuchukuwa fomu, akawa amekataa lakini baadae akakubali. Kuna wanaosema alitumiwa kama ''psychological relief'' ili Lowassa atakapoondolewa asijisikie vibaya sana kwani atakuwa anajiliwaliza kwa ''jaji mzima na heshima'' zake kuondolewa sembuse yeye. Na kuna wengine wanaosema ilikuwa ni project ya Kikwete ya kumweka mtu anayetamani sana amfanye rais wa Tanzania -- Asha Rose Migiro. Angefanikisha kwa kumpa Jaji urais wa miaka mitano kwa ahadi kuwa akitoka (2020) atamwachia Migiro. Na kuna wanaosema ilikuwa ni chaguo la system lakini ikaonekana itakuwa ngumu kumuuza... Ukweli ni upi?
 
Tamaa mbaya. Yaani hao ndo watu ambao wako tiyari kupindisha ukweli wakipewa uongozi.
 
haya maswali mengine ni ya hovyo sana. kwani hao wengine 37 au 42 walidanganywa na nani? hebu tuachane na huu ujinga wakudhani vitu vya kipuuzi kama hivi. tunaamini kila mmoja alienda kuchukua form na kurudisha kwa dhamira yake. chance yake ilikuwa 1/38 na 37/38 ilikuwa ya wengine. tumeng'ang'ana na mijadala ya kijinga isiyo na mbele wala nyuma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom