Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Lowasa hajawahi kuwa na hata tone ya shida na magufuri. Fuatilia
Kibarua cha kuwa msemaji wa lowasa umekianza lini mwenzetu?
Lowasa hajawahi kuwa na hata tone ya shida na magufuri. Fuatilia
Lowasa hajawahi kuwa na hata tone ya shida na magufuri. Fuatilia
sure ingekua sio gubu la ccm Migiro angepitishwa kwa speech yenye viwango. huyo magufuli kafunikwa na wanawake. hajui kupangilia speech cjui akiwa raisi atatuwkilisha vipi kmataifa. Shammme!!
Tukiachana na mambo mengine kwa mliobahatika kuwaangalia watia nia watatu wa jana kama ni kujudge nani anayejua kujieleza basi mwanamama yule kawashinda wote,kwanza ametulia anajua kuyapangilia maneno na ushawishi wa hali ya juu kwamba hata kama mwanzo mtu ulikuwa humuwazii kwa lolote na wazi kwamba anaweza kubadili fikra zako,kweli mama unafaa na nimeamini ana uwezo mkubwa sana si ajabu ndo mana anateuliwa kwa nyadhifa kubwa kubwa zamani nilikuwa najiuliza what is extra or what is special for her,but now i know.....may God give chance to this INCREDIBLE WOMAN WE HAVE IN TANZANIA TO BE OUR LEADER....AMEN.
Mkuu ni "fired" deputy General Sectretary of UN coz she was useless....really useless!
Mweupe sana kwenye uongozi kwa vitendo!...Nashangaa mijitu inaona mtu kuongea vizuri ndio mtendaji plus ilishadhibitika hana utendaji wowote,useless meat-head!
Kule UN mambo yao wameshajipangia huna jipya hakuna changamoto,huwezi kufananisha kuiongoza nchi,kuongoza nchi ni mgogoro wa kudumu na raia wako yataka uhodari,kule un mnachagua tu wapi tutie mikono wapi tuachane nako,mostly ni ushauri upatanishi na kupitisha viazimio extremely biased kwa maslaha ya akina fulani!kuongoza nchi habari nyingine shukrani au laana zitakuandama kutegemea na uwezo wako!Mhh rekodi ya kutumikia UN kwa mtazamo wako waiona haitoshi?! Mkuu hiyo yamaanisha ana rekodi inayong'ara hata nje ya mipaka yetu!! Dr. Migiro you vzr sana, namtabiria uwaziri mkuu!!
Chukua tano kiongozi kwa kuwa muwazi
Kuliko kutawaliwa na Raisi mwanamke ni bora nikaishi uhamishoni nchini Somalia.....
Mhh rekodi ya kutumikia UN kwa mtazamo wako waiona haitoshi?! Mkuu hiyo yamaanisha ana rekodi inayong'ara hata nje ya mipaka yetu!! Dr. Migiro you vzr sana, namtabiria uwaziri mkuu!!
Wabongo wamezowea kudanganywa,thanks CCM for the first time you've made the right decision, Dr Magufuli is what this country need right now, someone who can't hesitate to make tough decisions, a golfer!
Acheni kurukaruka kama maharage yanayochemka Angekuwa na uwezo Kwanini hakuongezewa mkataba mwingine Unajua hiyo nafasi aliipata Baada ya JK kumSupport BAN,KINMOON manake Amelipwa tu Fadhila JK nandio maana karudishwa Bongoz kwa watu wanaoamini ktk HOTUBA tam Performance ZIRO
sure ingekua sio gubu la ccm Migiro angepitishwa kwa speech yenye viwango. huyo magufuli kafunikwa na wanawake. hajui kupangilia speech cjui akiwa raisi atatuwkilisha vipi kmataifa. Shammme!!
Kitu nilicho-note kwenye hiyo speech... Inaelekea Migoro speech yake aliiandaa muda mrefu na pangine siku nyingi na akaifanyia mazoezi tofauti na wenzake ambao inaonekana wameshtukizwa. Je kuna mtu alikuwa amemhakikishia kuwa atafika 3 bora? Pengine...