Mke wangu amekiri kunisaliti

Mke wangu amekiri kunisaliti

Huyo bado anakula ujana kaolewa bado mdogo sana na hawezi kuacha kuchepuka. Na aliolewa na we we baada ya kuwa hana options. Hakupendi huyo anakutumia tu na lazma aje akuache.
Pole sana the more anavosoma ndo mapenzi yatakavozidi kuisha.
Hongera sana kwa malezo yako murua. Je, kwa sasa unamshauri nini huyu mkaka i.e. afanye nini?
 
KANUNI YA KUTUBU NI
1. Kujua kosa
2. kujutia kosa
3. kuchukia kosa
KWA IYO WW MSAMEHE.NA CHA MUHMU HAPO NI KUMPOKEA YESU

ushauri mzuri sana, maana binadamu utenda dhambi ikiwa hawana hofu ya Mungu, Hofu ya Mungu ikiwa ndani yako basi utakatifu utakuongoza,na kushinda vishawishi,
 
Nawashukuru ndugu zangu wote mlionishauri, najaribu kifafanua maeneo ambayo labda sikueleweka. Kwa sasa nina miaka 31 naye 25....mtoto wetu anamiaka 5. Wakati naoana na mke wangu alikuwa mbioni kujiunga na nursing na familia yake ilikuwa tayari kumsomesha. Hatoki katika familia masikini hivyo hakuolewa nami kama option ya kujinasua toka katika umaskini. Mke wangu baada ya kumsamehe alidai yuko tayari kubaki nyumbani na kuachana na kazi.........kati maelezo yake alinambia kuwa siri hiyo asingeweza kuishi nayo kwa vyovyote na anasema aliuahidi moyo wake ipo siku atakuja nambia bila kujali nitachukua uamuzi gani akiamini akisema ukweli atakuwa huru........sijui....ila ninachojua kwa miaka mitano niliyo ishi naye yeye ni mtu asiyeweza kuishi na kitu moyoni....hamudu kuhimili na kitu moyoni.......nilimwambia hakuna kwenda kazini na asahau kihusu kazi akasema yuko tayari kubaki byumbani ila ameomba nimjengee mabanda afuge kuku na kulea familia...........naomba maoni

ndugu,ikiwa umemsamehe basi achilia moyoni,kama huwezi mpe Yesu maisha yako,

maisha nje ya wokovu ni ubatili na kujilisha upepo, mtavurugana sana maana shetani uhutawala sana mwili hata kuwaka tamaa, sasa kama huna Yesu moyoni mwako,utakuwa mtumwa wa dhambi na asili yake shetani,
 
sijui kwa imani yako! lakini kwa imani yangu mimi;mwanamke aliye kwenye ndoa ama ukimfania au akikiri kuzini basi unatakiwa UMTALIKI na kuwa ukimsamehe ndivyo mungu anavyozidi kuwa mbali na wewe.
Umepata bahati amekiri,unampepelea wa nini tena maana hapo anazidi kukuona dhaifu
acha akale ujana,jiepushe na magonjwa ya kuua huko mbele.
Kwenye uislamu ndiyo maana hukumu kwa tendo la kizinzi lililofanywa na mwanandoa ni kifo,lengo ni kuwa:endapo mzinzi atapata gonjwa la zinaa asije kumuambukiza asiyezini(mwenza).kama ni la kuua afenalo mwenyewe.
kwa asiye mwana ndoa ni bakora 100 za haja,
 
Mwadada84

ni mambo ya kawaida hayo mdogoangu usiwe na waswas amefanya kosa na amejitambua na kukuri nakuhakikishia wewe tulua haturudia tena na ndoa yako itakuwa imara sana acha aende kufanya kazi hata mimi nimepata pigo kama hilo na nimetafiti kwa wenzangu takribani 6
 
Last edited by a moderator:
sijui kwa imani yako! lakini kwa imani yangu mimi;mwanamke aliye kwenye ndoa ama ukimfania au akikiri kuzini basi unatakiwa UMTALIKI na kuwa ukimsamehe ndivyo mungu anavyozidi kuwa mbali na wewe.
Umepata bahati amekiri,unampepelea wa nini tena maana hapo anazidi kukuona dhaifu
acha akale ujana,jiepushe na magonjwa ya kuua huko mbele.
Kwenye uislamu ndiyo maana hukumu kwa tendo la kizinzi lililofanywa na mwanandoa ni kifo,lengo ni kuwa:endapo mzinzi atapata gonjwa la zinaa asije kumuambukiza asiyezini(mwenza).kama ni la kuua afenalo mwenyewe.
kwa asiye mwana ndoa ni bakora 100 za haja,

Kwani kuzini ni kwa mwanaume tu?Adhabu ya mwanaume mzinifu wa kiislam ni ipi?
 
mkeo hajaruka stage yoyote niujinga tu nakutokua na heshima ya penzi.mimi niluolewa nikiwa na miaka 19 mara baada yakoconceive nilikonsiv siku ya kwanza kufanywa na kuzaa mapacha na ndoa juu nimesomeshwa degree ya kwanza na sasa nasomeshwa ya pili na sijawahi waza hata kufanywa nje wala kuhisi mumewangu anafanya.wewe cheza part yako kama mkristo katika laana Mungu aluzotaja nikuposa mke na mwingine kulala nae jitahidi kuomba Mungu na kujifunza kusamehe ila aandike na akirikosa kwa maandishi.punguza ofa pia
 
Ahsante mleta bandiko,wife alikua aanze chuo mwezi8,sasa naenda kumstopisha na naiprint hii story kama utetezi wa hoja yangu.
 
Muite mkeo tena mweleze unavyompenda na kumuamini na jinsi ulivyoumia kwa alichokifanya alafu mwambie umemsamehe,samehe kutoka moyoni kabisa then usimuulize tena kuhusu hilo jambo Mungu atampa majuto ndani ya nafsi yake.
Kuhusu kazi akipata mbali usikubali aende fuatilia uhamisho huyo mkeo hawezi kujiongoza mwenyewe akiwa mbali na wewe,au fungua mradi unaoendana na fani yake,akienda mbali atachepuka tena coz hadi mwanamke achepuke mara 3 lazima atakuwa hajielewi na hapo amekudanganya mara 3 zidisha mara 4 au labda kama alichepuka na watu 3 tofauti.(mtu hawezi kukiri ukweli kwa idadi ya chepuko yaani alifanya mara ngapi au na watu wangapi)Inauma lakini samehe utaona matunda yake.[/QUOTE]

Unamshauri asamehe halafu unsema Mungu atampa majuto huo ni msamaha? Pili sio kazi ya mume kuchunga mke kama unavyomshauri.
 
Pole usirudie tena kumsomesha mke na bado huko kazn kuwa makn ndo itakosa uaminifu lakn umefanya la mana kusamehe
 
Nawashukuru ndugu zangu wote mlionishauri, najaribu kifafanua maeneo ambayo labda sikueleweka. Kwa sasa nina miaka 31 naye 25....mtoto wetu anamiaka 5. Wakati naoana na mke wangu alikuwa mbioni kujiunga na nursing na familia yake ilikuwa tayari kumsomesha. Hatoki katika familia masikini hivyo hakuolewa nami kama option ya kujinasua toka katika umaskini. Mke wangu baada ya kumsamehe alidai yuko tayari kubaki nyumbani na kuachana na kazi.........kati maelezo yake alinambia kuwa siri hiyo asingeweza kuishi nayo kwa vyovyote na anasema aliuahidi moyo wake ipo siku atakuja nambia bila kujali nitachukua uamuzi gani akiamini akisema ukweli atakuwa huru........sijui....ila ninachojua kwa miaka mitano niliyo ishi naye yeye ni mtu asiyeweza kuishi na kitu moyoni....hamudu kuhimili na kitu moyoni.......nilimwambia hakuna kwenda kazini na asahau kihusu kazi akasema yuko tayari kubaki byumbani ila ameomba nimjengee mabanda afuge kuku na kulea familia...........naomba maoni

Mkeo=kwa shida na raha.
Kukili kosa =ni kujutia kumbuka yeye si maraika.
Samehe mumlee mwanenu
 
Huyo bado anakula ujana kaolewa bado mdogo sana na hawezi kuacha kuchepuka. Na aliolewa na we we baada ya kuwa hana options. Hakupendi huyo anakutumia tu na lazma aje akuache.
Pole sana the more anavosoma ndo mapenzi yatakavozidi kuisha.

Kuna walioolewa wakiwa na 30+ na still wanacheat.
 
fuata moyo wako mkuu, sehemu ya uzima wako anayo yeye, hivyo kama tayari ushaanza kupata mabaya ambayo yanaweza kupatikana kutokana na kukosekana kwa uaminifu ni bora ukafanya lililo sahihi kwa busara na moyo wako.
 
msimpoteze, ye kashaoa, majukumu yote kuhusu mkewe ni yake na kwa pamoja wanaweza kushauriana ila tu wanwake wapo tofauti,..ndugu,pole kwa maumivu ya moyo..kwani kazi anaenda mbali?hapa inabidi kupanda mzizi wa uaminifu tena,kwa ninavyoona, cause msipofanya hivyo mtaanza kugombana soon..pole

ki hivyo hawezi akarudia tena. Ataishi kwa hofu.
 
ttttttttttttttto pain bro pole sana najua hilo jeraha haliponagi coz yalishanikuta we acha tu japokuwa alikataa ila mi najua kuna kamchezo kalichezwa na mfanyakazi mwenzie
 
Mlioana 2010 akaanza kusoma mtoto alivyokuwa na miaka minne (2014) akamaliza masomo na nafasi za kazi zishatoka...this is strange
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom