Recent content by Kipimbwe

  1. K

    Kifo cha Mtakatifu Perpetua na Felista

    Alizaliwa c. 182—died "March 7, 203 " sio 302.
  2. K

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Wasiliana na 0684320509 atakupa mawasiliano na wanunuzi.
  3. K

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Ukipanda kitaalam unaweza kupanda fittings 10,000 ha kwa hekta.
  4. K

    Kwa kasi hii ya Magufuli, Upinzani unakuwa kama ndo unaanza!

    Kumbe lengo lako lakutafuta recognition lilikuwa kutuleta huku. Kwakweli wewe ni Moniccca
  5. K

    Nina wanaume wawili tofauti na wote wanataka kuja nyumbani kujitambulisha, nipo njia panda

    Yuko UDSM alafu anaogopa kukaa nyumbani interesting and Contradicting sentence.
  6. K

    Kuna uwezekano wa kwenda visiwa vya shelisheli kwa meli?

    Ipo Rufiji DC. Ukifika Kibiti ni rahisi kupata usafiri wakwenda Nyamisati
  7. K

    Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

    Anakukuta unasoma, anakwambia naona unasoma -- unamwambia nacheza
  8. K

    Tanzania tukihit 8% ya ukuaji wa uchumi; Kenya, UG & Co. bye bye!

    Kipimo cha nchi moja kuiacha nyingine ni GDP growth rate pekee teh teh teh. Jembe likilimia ukumbini hukongoka. We sijui ni Mwiraqwu wa wapi.
  9. K

    RC Makonda aimarisha biashara za usiku

    Bwana Kabila01, sijawahi kukariri katika maisha yangu. Nilichouliza ni anazifungaje? Taarifa haijasema atamobilize resources. Wewe ndio unamjibia au unampa wazo? Na hilo wazo la harambee amelisema yeye au wewe? Mimi sipo kisiasa humu napenda kufahamu means ya utekelezaji. Wewe unaongea resource...
  10. K

    RC Makonda aimarisha biashara za usiku

    Sio jambo baya issue na anazifungaje, ina maana kuna fungu la ufungaji taa kwa Mkuu wa Mkoa?
  11. K

    Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka

    Mzee huyu na muheshimu sana ila linapokuja swala la matokeo huwa naugua. Jirani safisha cheti aise fanya hata ile wanaita private candidate PC utakatishe.
  12. K

    Botellón – Get Together ya wana JF Tarehe 30 April 2016 (IMEAHIRISHWA)

    Chakii issue sio selfishness ninachokisema kipo, akiwahi mtu akaweka copyright kwa ajili ya biashara hawa jamaa hawatakuwa na uwezo wakuadhimisha jinsi wanavyoamua kuiadhimisha sasa. Kumbuka watanzania tunafeli kwakuwa si aggressive this is a business world ni lazima kujihami. Subiri itakapokuwa...
Back
Top Bottom