Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

Jamani mm napenda majibu km haya lkn najikuta siko active katika kurespond, poor me!! ila leo nshajifunza watanikomaaaa
 
Mtu anakupigia cm usiku sana , anakuuliza umelala mjibu nipo nje naota jua
 
Back
Top Bottom