Recent content by kinuuuuu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kutekwa Watu Jijini Mwanza

    Daaaaah inauma sana they kill my hero for sure. Alikuwa anaenda kusali nyabulugoya asubuhi wakamuua aisee. OK MUNGU ni mwema vyombo vya ulinzi daaaah,
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli sisi wananchi wa Singida Mashariki tunahitaji mbunge

    Mh Raisi ako na shughuli nyingi za kufanya. Na Tambua Mh Raisi anafanya Jukumu la nchi sio JIMBO. pia anayeweza semea suala ilo ni spika wa BUNGE. Try to folow chain of command.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vijana zaidi ya 3,000 warudishwa nyumbani baada ya kumaliza mafunzo ya JKT kwa kujitolea, wakosa ajira

    Sio rahisi hata kidogo kwa kuwa wamefunzwa nidhamu, utii, uzalendo na kazi za mikono. Kwann unakimbilia kwenye mawazo ovu? Wewe ni mchochezi na unachangia kishabiki.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Vijana zaidi ya 3,000 warudishwa nyumbani baada ya kumaliza mafunzo ya JKT kwa kujitolea, wakosa ajira

    Mawazo duni sana. Kaa kimya uschangie.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Vijana zaidi ya 3,000 warudishwa nyumbani baada ya kumaliza mafunzo ya JKT kwa kujitolea, wakosa ajira

    Usiongee usilolijuwa kwa kua tu una chaji na unajuwa kuandika. Je unajuwa waliorudishwa ni awamu gani? Na unajuwa mwisho wa hivyo vyombo ulivovitaja kwenda kutafuta vijana ni lini? In short ni kwamba JKT haiajiri ila inatoa fursa ya ajira pale panapokuwa na uhitaji katika vyombo mbalimbali...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Bukoba vs Moshi

    Nasema tena umewahi fika moshi? Mwisho wangu wa kufika bk ni mwaka 2016. Nachokuambia maeneo yote nayajuwa. Usilinganishe moshi na bk. Nimekuambia mnaizidi moshi maji ya ziwa tuu. Naweza sema bk ilinganishwe na bomang'ombe
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bukoba vs Moshi

    Duuuuu naweza sema naijuwa bukoba vizuri sana. Kuanzia BUKOBA MJINI, VIJIJINI, MISENYI, KARAGWE,nk.yaani kifupi naijuwa KAGERA. Kiukweli kuilinganisha BUKOBA MJINI NA MOSHI MJINI ni kituko sana. Labda mseme moshi haina fukwe za Ziwa tuu lakini vingine vyote hapana. Stendi yenyewe tope...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kutafuta miili ya waliofariki kwenye ajali ya Ndege Ngorongoro lakamilika

    Sure Unawezekana checking zake hazizingatiwi
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Si Vyema sana kutumia Lugha udhi Ukiwa huna mchango some na Upite tu. Nadhani Uko na tatizo la Akili.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nyati Cement !

    Yaaan umewaza Mpaka basi. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  11. K

    JamiiForums Tanzania Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

    Huenda Kuna mchezo unaendelea Serikali haitaki igundulike.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Hahaaaaaa aaaaaaa[emoji23]
  13. K

    JamiiForums Tanzania Laiti nisingeandika bandiko hili labda Ben Sanane asingepotea

    Kuna MUNGU na ndiye anayepanga kachukua uhai wa sisi binadam. Napita tu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

    Najifunza na kuelewa mengi. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom