Mamlaka haya Rais anayapata wapi ya kuamuru kesi ambazo zimefikia finality zirudi mahakamani

Ni uhuni uhuni tu Mkuu taratibu na sheria za nchi tupa kuleeee.
Mimi concern yangu ni taratibu na sheria zifuatwe! Siyo hii persecution, tribalism , nepotism hata katika mambo ya sheria, judiciary in broad sense! Najua rais anaweza kutoa msamaha, sheria inamruhusu but this has to be done with reason, it is my conviction for a President of a nation in a democratic society and basic human rights abiding president ought to do things with the reach of law!
 
Dictators they don’t care about the rules of law. Remember Bashite’s invasion at Clouds and the end results of that invasion.

Mimi concern yangu ni taratibu na sheria zifuatwe! Siyo hii persecution, tribalism , nepotism hata katika mambo ya sheria, judiciary in broad sense! Najua rais anaweza kutoa msamaha, sheria inamruhusu but this has to be done with reason, it is my conviction for a President of a nation in a democratic society and basic human rights abiding president ought to do things with the reach of law!
 
Tatizo sio Rais tatizo ni Katiba imempa Mamlaka makubwa rais so hilo la kawaida kama Anaweza Samehe na kuamuru waliofungwa Maisha wasemehewe ndo Ashindwe kutoa amri ya kurudisha mashauri??????? Sio kosa la rais ila katiba...
 
Najua sana ana madaraka ya kusamehe, lakini hana mamlaka ya kisheria ya kusema kesi zirudi mahakamani! Basi na awasamehe kama akina Babu Seya...LAKINI NAOMBA USOME HII:

Arbitrary use of power

Laws place constraints on a person’s arbitrary power to do as he or she wishes without consideration for the harm it could do to others.

The Rule of Law, in its most basic form, is the principle that no one is above the law. The principle is intended to be a safeguard against arbitrary governance, whether by a totalitarian leader or by mob rule. Thus, the rule of law is hostile both to dictatorship and to anarchy.

Rule of Law cannot exist without a transparent legal system, the main components of which are a clear set of laws that are freely and easily accessible to all, strong enforcement structures, and an independent judiciary to protect citizens against the arbitrary use of power by the state, individuals or any other organization.

The general principle under the law is that......

..... discretionary power is exercised so as to do justice to the case and must be exercised judiciously with due consideration of all the facts and circumstances….

There should be strong reasons for doing that not tribalism, nepotism, persecution and the like; so long by reason that you have the power of doing that!!
 
Mahakama ni chombo huru, na maamzi ya mahakama hufanyika after all parties tended their evidence. Na mahakama hufanya judgement baada ya kupima ushahidi wa pande zote Mbili. Baada ya maamzi ya mahakama upande ambao haujaridhika unaweza kufanya mambo ma tatu.
Mosi kuomba review ya hiyo hukumu, kuomba revision au kufanya appeal. Lakini ushauri wa Mh Rais unaweza kuwa sahihi kwa kuwa ana vyombo vingi huenda amepata taarifa kuwa kulikuwa na ukiukwaji kwenye kesi hizo zilizopelekea haki kutotendendeka.
 
Basi aamuru waachiwe! Siyo kurudisha kesi mahakamani, MAMLAKA HAYO HANA, NDIO UDIKITEITA
 
Nimesoma mahali kuwa Mtukufu Rais amemwamrisha RCO kurudisha kesi zote za mauaji ya Mkoa wa Mwanza upya mahakamani. Hizi kesi zimefikia finality ya course zao, Sijui kwa sheria ipi anazirudisha. Review/Revision/ au AMRI TU KUWA AMUA HIVI FULANI ASHINDE

1. Mamlaka haya Rais anayapata wapi?
2. Mahakama zinaanzia wapi? High court /court of appeal?

Juduciary on trial again!

Mbona tunakwenda kubaya jamani?
Tunakaribia kufika mwisho ukiona hivyo
 
Hahaha nionavyo mimi ange fungulia wafungwa wote nchi nzima yani waachwe huru, kisha tuanze upya.
Kuna Judge Ibrahim Juma anasema mahakama haziingiliwi na mtu yeyote!
 
Nimesoma mahali kuwa Mtukufu Rais amemwamrisha RCO kurudisha kesi zote za mauaji ya Mkoa wa Mwanza upya mahakamani. Hizi kesi zimefikia finality ya course zao, Sijui kwa sheria ipi anazirudisha. Review/Revision/ au AMRI TU KUWA AMUA HIVI FULANI ASHINDE

1. Mamlaka haya Rais anayapata wapi?
2. Mahakama zinaanzia wapi? High court /court of appeal?

Juduciary on trial again!

Mbona tunakwenda kubaya jamani?
kumbe umesoma yaliyoandikwa na mwingine? Sisi tumemsikia akiwahoji wafungwa wa Butimba juzi na jana akaliongelea hilo pale Kongwa.
Hukumu sawa lakini kesi kama imehukumiwa remedy yake ni rufaa kama haijafika court of appeal.
Tatizo lako unamihemeko, baada ya kuwahoji wafungwa wa Butimba amegundua kuna watu 900 waliowekwa mahabusu (hawajapelekwa mahakamani) na wengine wamebambikiwa kesi za mauaji wakati kosa lao lilikuwa ni kuiba dumu la mafuta.

Kuna baadhi wamewekwa mahabusu miaka nane kwa kesi ndogo ndogo.
Mimi concern yangu ni taratibu na sheria zifuatwe! Siyo hii persecution, tribalism , nepotism hata katika mambo ya sheria, judiciary in broad sense! Najua rais anaweza kutoa msamaha, sheria inamruhusu but this has to be done with reason, it is my conviction for a President of a nation in a democratic society and basic human rights abiding president ought to do things with the reach of law!
Rais alichokisema ni kuwaambia ofisi ya DDP (siyo mahakama) kuziangalia upya kesi hizo, tatizo liko wapi?
..ana mamlaka ya kutoa msamaha.

..hana mamlaka ya kubatilisha / kubadilisha hukumu.
Utahukumu vipi kitu ambacho hukukisikia mwenyewe? We umesoma maneno ya mtu ukakurupuka tuu bila hata ya kuchunguza mwenyewe. Na ile ishu siyo kwamba Rais alijiendea tuu, teyari alikuwa anataarifa ya yanayoendelea.

Jamani Rais ni Taasisi siyo mtu.
 
Kwa hili la waliobambikiwa kesi za mauaji na kusaidiwa hata kama hana mamlaka naona sawa tuu kuliko watu wateseke kwa kuzungumzia mamlaka...na wakitaka wakupoteze kesi ya Ardhi unapewa mauaji na wengi wamehukumiwa hivyo sio kila kitu kupinga tuu hata kwa vitu anavyopatia ili mradi tupo upande tofauti hata akifanya kitu kwa maslahi ya watu waliodhurumiwa haki zao ni kupinga tuu..
Badala ya kurudia kesi si asemehe tu kama sharia inavyomruhusu
 
Kesi zikirudishwa mahakamani yale mazingira ya rushwa yaliyopelekea injustice yakazuiwa, basi tutajua yupi kainewa na yupi hakuonewa.

mkuu, jiandae kusingiziwa kesi..uone system inavyoshikana na kukwepa kudhalilishana

naombea abakwe mkeo, uje juu..kisha usingiziwe kesi, ulete huu usomi wako
 
kumbe umesoma yaliyoandikwa na mwingine? Sisi tumemsikia akiwahoji wafungwa wa Butimba juzi na jana akaliongelea hilo pale Kongwa.

Tatizo lako unamihemeko, baada ya kuwahoji wafungwa wa Butimba amegundua kuna watu 900 waliowekwa mahabusu (hawajapelekwa mahakamani) na wengine wamebambikiwa kesi za mauaji wakati kosa lao lilikuwa ni kuiba dumu la mafuta. Kuna baadhi wamwekwa mahabusu mika nane kwa kesi ndogo ndogo.

Rais alichokisema ni kuwaambia ofisi ya DDP (siyo mahakama) kuziangalia upya kesi hizo, tatizo liko wapi?

Utahukumu vipi kitu ambacho hukukisikia mwenyewe? We umesoma maneno ya mtu ukakurupuka tuu bila hata ya kuchunguza mwenyewe. Na ile ishu siyo kwamba Rais alijiendea tuu, teyari alikuwa anataarifa ya yanayoendelea.

Jamani Rais ni Taasisi siyo mtu.
excellent
 
Concern yangu ni taratibu tulizojiwekea zifuatwe... Kuna keli watu wameua , wamebaka, then unasema huyo asamehewe kwa vile mtu kutafuta kupendwa. Ingelikuwa ni dada yako or even worse mama yako (mfano) amebakwa mawazo hayo usingeliyaandika nina uhakika
Na rais hajatoa msamaha kwa mfungwa yeyote , bali ameagiza kesi ziwe rewiewed baada ya kuona kuna mazingira ya uonevu.
Jambo ambalo ni jema..
Pata feeling unafungwa kwa kesi ya ubakaji (30yrs) lakini ukiwa umembambikiwa tu.

.
 
Nimesoma mahali kuwa Mtukufu Rais amemwamrisha RCO kurudisha kesi zote za mauaji ya Mkoa wa Mwanza upya mahakamani. Hizi kesi zimefikia finality ya course zao, Sijui kwa sheria ipi anazirudisha. Review/Revision/ au AMRI TU KUWA AMUA HIVI FULANI ASHINDE

1. Mamlaka haya Rais anayapata wapi?
2. Mahakama zinaanzia wapi? High court /court of appeal?

Juduciary on trial again!

Mbona tunakwenda kubaya jamani?
#JamaaAmechanganyikiwa
 
Kwani yule mtoto wa Dada yangu aliye husika au husishwa na kushuti mtu kanisani kesi yake imesikilizwa au nayo kasingiziwa na DPP anaishughulikiwa. Sijasikia new appointed DED in that council tough unless Sijui. Muwe mnaendelea kuconnect the dots. Kwani angepita alafu kama Rais akamwita aji mkuu au wakuu wanaousika akawaambia waanze kazi ya ku review kesi mbalimbali nchi nzima na kumpa report. Au hata angechagua independent consultants au aunde tume ifanye hiyo kazi nchi nzima. Na sio gereza moja tu. Anyway huo ni mtazamo wangu sio wake
 
Nimesoma mahali kuwa Mtukufu Rais amemwamrisha RCO kurudisha kesi zote za mauaji ya Mkoa wa Mwanza upya mahakamani. Hizi kesi zimefikia finality ya course zao, Sijui kwa sheria ipi anazirudisha. Review/Revision/ au AMRI TU KUWA AMUA HIVI FULANI ASHINDE

1. Mamlaka haya Rais anayapata wapi?
2. Mahakama zinaanzia wapi? High court /court of appeal?

Juduciary on trial again!

Mbona tunakwenda kubaya jamani?
umeuliza vyema, Raisi ni muhimili kati ya mihimili mitatu, yaani mahakama, bunge na yeye serikali.
kwa kipindi kirefu yeye[serikali] amekuwa akiingilia mahakama na bunge kwa kutoa amri.
Utaona kesi za kina DR Adv Tenga, Kitilya , Sumari na wengine kazifanya kwa chuki binafsi huku zikiwa hazina mwisho ila watu wake na wasukuma juzi kaamuru wafutiwe kesi na DPP.
kimra walivunjiwabila fidia ila kwake huko walipwe fidia,

haya mambo Mungu atalipa.

haya, Rais hana mamlaka ya kuamuru lolote kqa mahakama, ukiona kama hivi anavyofanya hakuna check and balance, na tena wabunge wakiongozwa na ndugai na tulia wanapaswa kupiga kura ya kutokuwa na imani
 
Faru john hana akili hiyoo..!! Kimsingi kwa africa ni ngumu sana mahakama kuwa independent body yani hio haipoo...
 
Back
Top Bottom