Recent content by kinjekitile70

  1. kinjekitile70

    JamiiForums Tanzania Naomba app nzuri ya kupakua movies tafadhali jina lake

    www.goora.com Live stream na download
  2. kinjekitile70

    JamiiForums Tanzania Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara Nyeti 2025 na Mgombea Urais 2030

    P Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  3. kinjekitile70

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja bei rahisi Kibaha kwa Mfipa (Upande wa chuo)

    Unazingua sana dogo Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  4. kinjekitile70

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja bei rahisi Kibaha kwa Mfipa (Upande wa chuo)

    Unapiga pi ha nyumba za wanaume wenzako Bila kutoa credit Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  5. kinjekitile70

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Staftahi ndo nini mkuu Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  6. kinjekitile70

    JamiiForums Tanzania Jifunze kusoma Alama za Nyakati. Siku ukiona Ulinzi ni Mkubwa basi jua kuwa Usalama ni Mdogo

    Shukrani mkuu Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  7. kinjekitile70

    JamiiForums Tanzania Risasi ikipigwa juu angani inaweza kudhuru mtu ikishuka? Bunduki inaweza kupiga risasi na kudhuru kwa umbali gani?

    Nilikuwa namaanisha Force Kani F=Ma Ukitaka kuelewa hili vizuri soma vitu vinavyo accelerate constantly
  8. kinjekitile70

    JamiiForums Tanzania Risasi ikipigwa juu angani inaweza kudhuru mtu ikishuka? Bunduki inaweza kupiga risasi na kudhuru kwa umbali gani?

    Final velocity inakuwa zero pia sababu ya constant acceleration ya 9.8m/s² Kinacho umiza ni momentum kama alivyosema mjumbe (kani inayozalishwa na risasi kutua kwenye kichwa au mwili ) wa muhanga yaanj F=Ma M=mass ta risasi a=Acceleration due to gravity 9.8m/s²
  9. kinjekitile70

    JamiiForums Tanzania Risasi ikipigwa juu angani inaweza kudhuru mtu ikishuka? Bunduki inaweza kupiga risasi na kudhuru kwa umbali gani?

    Kitu kikiwa kinashuka kwa gravity maana yake kinakuwa na constant acceleration 9.8 m/s² ambapo initial Velocity (u)=Final velocity (v). Katika hali hiyo initial velocity U ya risasi inapoanza kurudi ni 0m/s. Sijui kama umepata mwanga kidogo.
  10. kinjekitile70

    JamiiForums Tanzania SI KWELI UKIMWI hausababishwi na HIV, kwamba agenda nzima ni scam na kuwa hakuna kipimo cha kupima HIV bali vilivyopo hupima tu kushuka kwa kinga

    Ni kweli UKIMWI husababishwa na HIV . HIV inapoingia mwilini hupambana na CD4 yaani Kinga ya mwili. Kinga ya mwili hutengengeneza antibody za HIV ambazo ndizo tunazopima ili kujua kama mteja yuko na maambukizi kwa kutumia kipimk cha SD BIOLINE. kama kipimo kikisoma negative mtu anakuwa hana...
  11. kinjekitile70

    JamiiForums Tanzania Whatsapp community ni kitu gani?

    Subiri nimalizie chai nakuja hapo
  12. kinjekitile70

    JamiiForums Tanzania Kwanini Iran na Yemen wamekuwa na mipango ya miaka mingi kulipua Mecca na Medina?

    Subhuman Allah [emoji2][emoji2][emoji854]
  13. kinjekitile70

    JamiiForums Tanzania Open School

    Niko mikoani ndani huku kaka
  14. kinjekitile70

    JamiiForums Tanzania Open School

    Habari zenu wana jamvi natumaini ya kuwa mko wazima kabisa. Nahitaji kujua mahitaji muhimu katika kuanzisha na kuendesha Open school Na ni programme zipi hasa zinaruhusiwa kuendesha katika vituo hivyo. Naomba kama kuna mtu yuko na Experience yoyote kuhusu hili naomba tuwasiliane. Ahsanteni sana.
  15. kinjekitile70

    JamiiForums Tanzania Wamasai ni watata mijini, wafanyabiashara wanalalamika

    Umejaa ubaguzi tuh
Back
Top Bottom