Plot4Sale Viwanja bei rahisi Kibaha kwa Mfipa (Upande wa chuo)

Ghost.js

Senior Member
Jul 1, 2015
158
327
Kama unataka kununua kiwanja Kibaha, nina viwanja Kibaha kwa Mfipa, upande wa chuo, ndiponinapoishi.
Viwanja viaanzia ukubwa wa 20×20(sqm400)

Viwanja ambavyo ni mauziano ya serikali ya mtaa vinaanzia bei ya million 2.5
Viwanja vyenye hati bei kuanzia million 5

Nyumba ninazo kuanzia million 8
0744757738

IMG_20230901_103320_240.jpg
IMG_20230901_123214_210.jpg


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Vyenye hati ambavyo kuanzia sqm 400 ni million 6.5. Ambavyo ni mauziano serikali ya mtaa ni million 4 (sqm 400)

Toka moro road unatembea tu, kwa boda ni buku. Umeme upo, maji ya dawasco yapo.
Barabara zipo.
Huduma zote zipo.
Uaminifu 100%

Simu: 0744757738

IMG_20230828_103640_111.jpg


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kwa Mfipa upande wa chuo ni upi hapo?

Ni upande huu ilipo barabara ya zamani au huo mwingine?
 
Karibu Kibaha kwa mfipa(upande wa chuo)
Vyenye hati ambavyo kuanzia sqm 400 ni million 6.5
Ambavyo ni mauziano serikali ya mtaa ni million 4(sqm 400)
Toka moro road unatembea tu, kwa boda ni buku
Umeme upo, maji ya dawasco yapo
Barabara zipo
Huduma zote zipo
Uaminifu 100%
0744757738
IMG_20230901_103057_344.jpg


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Karibu Kibaha kwa mfipa(upande wa chuo)
Vyenye hati ambavyo kuanzia sqm 400 ni million 6.5
Ambavyo ni mauziano serikali ya mtaa ni million 4(sqm 400)
Toka moro road unatembea tu, kwa boda ni buku
Umeme upo, maji ya dawasco yapo
Barabara zipo
Huduma zote zipo
Uaminifu 100%
0744757738
IMG_20230901_103058_242.jpg


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Nyumba zinauzwa ni hizi
1. Million 8
Chumba seble chumba
Bado haijafanyiwa finishing
Ukubwa wa eneo ni 25×25
Umbali km 6 toka moro road

2. Million 37
Vyumba vitatu(viwili master)
Inafanyiwa finishingi
Madirisha ya nyavu
Chini flow ya cement
Ukubwa wa eneo 20×30
Umbali ni km 2 toka moro road

3. Viwanja vipo
Kuanzia sqm 400, unaweza unganisha
Vipo 17
Kila sqm 400 ni million 4(pamoja na gharama za kuandikisha)
Umbali km 2 toka moro road
Umeme upo, maji ya dawasco yapo

4. Viwanja vya bei rahisi
Sqm 400 unauziwa na wazawa wenyewe
Kila sqm 400 ni million 2.5
Umbali km 4 toka moro road
Umeme upo na maji dawasco yapo

5. Shamba heka 5 zimepimwa zina hati ya wizara
Umbali km 5 toka moro road
Bei ni million 28 kwa heka
Umeme umefika na maji

Call/Whatsapp: 0744757738

NB: kupelekwa site ni 10k, usafiri wa gari full ac

IMG_20230824_070636_044.jpg


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom