Wamasai ni watata mijini, wafanyabiashara wanalalamika

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,865
Reaction score
60,863
Hawa wamasai wamekuwa wengi mjini, shida sio kuwa wengi kwani kila mtanzania ana haki ya kwenda popote. Shida ni kwamba hawa majamaa hawaridhiki na chochote kazi, kulalamika tu!

Wafanyabiashara na watoa huduma wanalalamikia sana, mfano wa kwanza nilikuwa nimeenda kunyoa sasa wakaja wamasai wawili mmoja anataka kuchongwa mwingine kupakwa black.

Baada ya kufanyiwa huduma wakaanza kutoa ma shit, eti wanalalamika wamechongwa vibaya na kupakwa black kidogo wakati ukiangalia wamefanyiwa vizuri kabisa. Wakaanza kudai wanaenda saloon nyingine kurekebisha.

Mfano mwingine, kuna sehemu tulikuwa tunakunywa supu, mmasai akaja akaagiza supu akaletewa. Eti akaanza kulalamika supu haina mafuta kisa kazoea supu za kwao wanakunywa michuzi yenye mafuta.

Inshort, hawa majamaa ningekuwa RPC ningewafanyia doria. Wamekuwa wengi sana, niwaweke sehemu moja niwape somo.
 
Umejaa ubaguzi tuh
Siwabagui kwani hata Mimi NI wa kaskazini kwetu huko kwa wambulu ningewezaje kuwabagua ndugu zangu ishu NI kweli wanazingua japo tunawahitaji kwani wanachangia uchumi na wafanyabiashara wanapata hela..TUNATEGEMEANA mkuu
 
Tanzania bilaa ukabilaa ilishawezekana ww waturudisha wap mkuu???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ole sendeka
 
Weee Bomu kabisa

Mtu anatumia pesa yake kupata mduma

Wewe unalalamikaa

Kama huridhiki na huduma unayotapa na pesa umelipa lazima usemee.

Acha UCHAWA wewe.

Ngorongoro wamepigwa na wewe unataka uwapigee
Hukoo domo ovyo
 
Siwabagui kwani hata Mimi NI wa kaskazini kwetu huko kwa wambulu ningewezaje kuwabagua ndugu zangu ishu NI kweli wanazingua japo tunawahitaji kwani wanachangia uchumi na wafanyabiashara wanapata hela..TUNATEGEMEANA mkuu
mbulu kuna pisi sio mchezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom