Recent content by kingsley

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msiokuwa na kazi na mnajidekezadekeza kitaa huko soma hapa!!!!

    Nukuu zangu "kazi tembo mshahara sisimizi" burn the ship"
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mwanzo walisema atuna elimu ila sasa atuna experience, nini tutarajie?

    umefata mkumbo kukosoa kama huna c ha kuchangia ungekaa kimya.
  3. K

    JamiiForums Tanzania DC amkwida diwani katika chakula

    Wali nyama na mirinda orange a hv naweza pika mwenyewe hata kama wife hayupo, cjapanga foleni bado ya manyanyaso.huyu wakimpa ucku mmoja lakairo hoteri c atasaliti chama.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maoni kwa star tv.

    ni kweli wanakila sababu ya kuboresha huduma wakati mwingine haipatikani na ikipatikana ni chenga sana tunawapenda boresheni huduma .
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maoni kwa star tv.

    Ningependa kipindi cha tuongee asubuhi kirushwe redioni (rfa) ili kutoa fursa kwa watu wengi zaidi kusikiliza na kuchangia.my take huwezi kutenganisha haki na amani kwenye jamii na katika tz yetu amani inahubiriwa wakati haki haipo sio rahisi jambo hili "haki kwanza amani itakuja yenyewe"
  6. K

    JamiiForums Tanzania a lie that our teachers taught us in primary school.

    Nadhani baada ya kuyajua hayo hutampeleka mwanao shule bali utamfundisha mwenyewe kuhusu milango 9 ya fahamu ila kabla ya hapo soma ki2 kinatwa child development n remember tht teaching is a profesional na walim hujua nini mtoto anatakiwa kusoma dah! Mwlm kazi anayo" lie"after the whole...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Faida ya bima ya afya kwa mwana chuo.

    Jama naomba kuelimishwa katika hiki kitu bima ya afya kwa wanachuo hususani faida zake kwa mwanafunzi kwa sababu mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ambacho ni cha serikali katika chuo hiki wanafunzi tunachangia 70000 za matibabu lakini hakuna utaratibu wa bima ya afya kama baadhi ya vyuo kwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Umelazimishwa

    Hii ndiyo maana ya jf photo sio mapicha mengine kama ze utamu .thnx mleta picha inatupa wakati wa kufikiria kuhusu wanao tuzunguka unaweza kuwa kama huyo mtoto nyumbani ,ofisini,kwenye gari au popote pale na tel u the truth kutoa kunakufanya uwe na furaha zaidi kuliko kupokea ,naipenda jf.
  9. K

    JamiiForums Tanzania siri ya jinsi ya kujiajiri!!!

    wanaitwa aloverag.
  10. K

    JamiiForums Tanzania DG WA LAPF ANACHUKUA 10 MILL( Best paying GVT institution)

    ndogo sana ukilinganisha na ipi mkuu?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kunakila dalili ka pambano la coast union na yanga kuvunjika

    Hali ni mbaya,ata wakir'disha gazeti lishachaf'ka
  12. K

    JamiiForums Tanzania Grand malt: Msaada katika After Effects

    hak'na sol'tion nyingine apart 4m ths coz mpenzi y'ko mbali na ni kweli kwamba k'fanya sex k'taondoa tatizo ?madhara ya mda mref ni yapi kwa m2miaji.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Grand malt: Msaada katika After Effects

    yah!mwili hwa na matatizo ya energy so nikawa nat'mia ili k'pata energy .
  14. K

    JamiiForums Tanzania Grand malt: Msaada katika After Effects

    Jama naomba ushauri kwan kwa muda sasa nimekuwa nikitumia hiki kinywaji lakini nnapo amka asbhi kichwa hwa kinak'wa kizito na mdomo k'wa mzito na kama michbko flani kwenye 'limi hlp pl'z je kina matatizo flani kwa wa2miaji?
  15. K

    JamiiForums Tanzania UEFA Champions League, Special Thread

    Grp d watatumia nguvu nyingi sana kusönga mbele jambo ambalo linaweza kuharibu progress yao kwenye ligi za nyumbania hasa kwa madrid.soka lko mbele c ngoja 2jiliwaze na mabonanza ya voda.
Back
Top Bottom