Mwanzo walisema atuna elimu ila sasa atuna experience, nini tutarajie? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanzo walisema atuna elimu ila sasa atuna experience, nini tutarajie?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by herrypeter1, Sep 11, 2012.

 1. herrypeter1

  herrypeter1 JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2009
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati wa ukoloni wawekezaji walio kuwa wanakuja awakuajiri wazawa kutokana kuwa walisema atuna elimu, Ni kweli watanzania wengi tulikuwa atuna elimu na wale walikuwa na elimu ilikuwa ni rahisi kupata ajira, ila sasa wanasema BAADA YA WATANZANIA KUWA NA ELIMU WANAITAJI EXPERIENCE NA WANARETA WATU KUTOKA KWAO KUTOKANA ATUNA EXPERIENCE, JE TUTARAJIE NINI BAADA YA EXPERIENCE? ILI TUJIAANDAE
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,250
  Likes Received: 12,975
  Trophy Points: 280
  mambo.ya experience yanaboa.sana so mtu ukitoka chuo inabidi ukae home tena?
   
 3. herrypeter1

  herrypeter1 JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2009
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tusubiri wengi watakapokuwa na experience, watasema wanataka waliosoma nje ya nchi?
   
 4. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  hatujui kazi
   
 5. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa namna yako ya uongeaji nina shaka kama unaelewa maana ya kusoma na kuwa na elimu.

  ATUNA elimu,

  WANARETA
  watu......hii ni dalili mbaya. Kama umeenda shule na bado unaleta kiswahili kichafu namna hii sijui kwenye hesabu na mwandiko ukoje.

  Nachefuka sana na viswahili vichafu, bora uongee broken English usamehewe kwa kuwa ni lugha ngeni lkn si kiswahili. Hiyo ni dalili kuwa unachukua miaka 10 ku - adopt jambo dogo tu.

  Unahitaji experience ya kuongea
   
 6. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Mi bwana sielewi atuna ndio nini.
   
 7. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Sasa nakubai kuwa kumbe mtu unaweza kuwa humjui lakini kwa lugha yake akakuchefua kabisa na kukuharibia siku...eti atuna....??!!:A S thumbs_down:
   
 8. herrypeter1

  herrypeter1 JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2009
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nataka nijue kuwa wewe unayejua lugha unifundishe, ila elewa kila mtu ana namna yake ya kufikisha ujumbe si lazima ujumbe uje kwa namna ambayo wewe unaona ni sawa kwa lugha unayotaka wewe, na ndio maana kuna kitu kinaitwa DIVISION OF LABOUR..............nashukuru kwa ushauri wako na kunielewa kuwa mimi sijui kiswahili ingawa ni lugha yangu
   
 9. herrypeter1

  herrypeter1 JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2009
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri huwa unasoma gazeti la mwananshi kila jumapili......
   
 10. M

  Masipula Gilbert New Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya Hilo watasema tumefikia umri wa kustaafu!! Dats it
   
 11. herrypeter1

  herrypeter1 JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2009
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni ivyoo tutajiandaa na kufoji vyeti vya kuzaliwa kudanganya umriiiii
   
 12. M

  MMOJA JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Experience ingekua inauzwa!, ningenunua kwa gharama yoyote ile,hata lile shamba letu tungeuza ili niipate hiyo experience,maana sasa hawatuajiri eti sababu experience,kuna mtu anazaliwa na experience?
   
 13. k

  kazz Member

  #13
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukiwa na expirence sana nalo tatizo kwa bongo, chamsingi watu wasiyo kuwa na ajira inabidi waungane kwa pamoja nakubuni mradi wa kujiajiri wenyewe Tatizo lanchi yetu haina Makampuni ma kubwa naviwanda novyo hakuna lakini pamoja nayote hayo "there is a lot of money to be maide"
   
 14. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,275
  Likes Received: 1,204
  Trophy Points: 280
  ss mtu ukiwa chuo,maana ya kufanya field cjuui ni nn?hainiingii akilini,experience naitoa wapi wakati hamtaki kuniajiri?
   
 15. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kiswahili z a toothless language which has failed to manifest itself, so don mind a lot just let t go
   
 16. k

  kingsley Member

  #16
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  umefata mkumbo kukosoa kama huna c
  ha kuchangia ungekaa kimya.
   
 17. herrypeter1

  herrypeter1 JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2009
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nafikiri serikali iangalie swala ili kweli kwa kusapoti watu wenye idea za kuweza kuwaajiri watanzania wenzao maana tatizo linazidi kula kukicha, adi inasikitisha kwa niliyo yasikia clouds mtu amesoma kwa ajiri ya kukosa kazi anauza mwili wake... nafikiri ni wakati nasi wanaanchi kusimamia ili na kuifosi serikali yetu kutoa misaada kwa vijana wanao maliza vyuo
   
 18. herrypeter1

  herrypeter1 JF-Expert Member

  #18
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2009
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nafikiri serikali yetu iweke sheria kwenye makampuni kuajiri 20 - 50 kulingana na size ya kampuni vijana kazaa wanaomaliza vyuo wasiokuwa na experience, si kila wakati kututaka experience tUUUUU
   
 19. B

  BARRY JF-Expert Member

  #19
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Kuna tatizo kubwa la uelewa wa lugha ya kiswahili kwa mtoa ujumbe!
   
Loading...