Umelazimishwa

Umelazimishwa

Du kama ni kweli hiyo ipo mpaka leo maendeleo kwao ni mwiko
 
Jamaa ata hakati inaenda nzima nzima hivyo?
 
<!--[if gte mso 9]><xml> <w:WordDocument> <w:View>Normal</w:View> <w:Zoom>0</w:Zoom> <w😛unctuationKerning/> <w:ValidateAgainstSchemas/> <w:SaveIfXMLInvalid>false</w:SaveIfXMLInvalid> <w:IgnoreMixedContent>false</w:IgnoreMixedContent> <w:AlwaysShowPlaceholderText>false</w:AlwaysShowPlaceholderText> <w:Compatibility> <w:BreakWrappedTables/> <w:SnapToGridInCell/> <w:WrapTextWithPunct/> <w:UseAsianBreakRules/> <w😀ontGrowAutofit/> </w:Compatibility> <w:BrowserLevel>MicrosoftInternetExplorer4</w:BrowserLevel> </w:WordDocument> </xml><![endif]--> RE: VIONGOZI WA CCM WANACHAGUA VITI KWENYE MELI INAYOZAMA
Katika jambo la kushangaza na kutia mvuto ni kuona bado Viongozi wa CCM waliojivunia heshima nyingi sana katika nchi hii wanaendelea kuchagua viti vya kukalia kwenye meli inayozama.
-CCM haina chake Tanzania bila kurejesha imani kwa Watanzania kwa kurudisha mali zote walizochuma na kuiba ndani ya Serekali.
-CCM haina chake Tanzania bila kurejesha imani kwa Watanzania kwa kuficha malioni ya fedha nje ya nchi huku Watanzania wakikosa huduma muhimu.
-CCM haina chake Tanzania bila kurejesha imani kwa Watanzania kwa kutumia Jeshi la Polisi kuwaua raia wasio na hatia hovyo badala ya kuwalinda wanapodai haki zao kwa amani.
-CCM haina chake Tanzania bila kurejesha imani kwa Watanzania kwa kuwalipa Wafanyakazi vizuri katika sekta ya Elimu na Afya.
-CCM haina chake Tanzania bila kurejesha imani kwa Watanzania kwa kuweka hadharani mauzo ya mashirika na viwanda vya Umma vilivyouzwa kiholela na kupunguza ajira kwa Watanzania.
-CCM haina chake Tanzania bila kurejesha imani kwa Watanzania kwa kutoa ajira kwa vijana wanaomaliza vyuo vikuu.
-CCM haina chake Tanzania bila kurejesha imani kwa Watanzania kwa kuwaondoa wawekezaji waliovamia ardhi ya wazawa na kupora rasilimali kijanja na kwa nguvu huku wakiwapiga risasi za moto.
-CCM haina chake Tanzania bila kurejesha imani kwa Watanzania kwa kuwaondoa wawekezaji kwenye sekta za madini na utalii ambazo kwa kiasi kikubwa wanaficha fedha nje ya nchi.
-CCM haina chake Tanzania bila kurejesha imani kwa Watanzania kwa kuwafilisi Mafisadi walioibia Umma na kusababisha tabaka kubwa la walio nacho na wasio nacho.
-CCM haina chake Tanzania bila kurejesha imani kwa Watanzania kwa kuwajaza wafungwa wa kuiba Kuku magerezani wakila bure lakini Wezi wa fedha za umma wanapeta uraiani.
-CCM haina chake Tanzania bila kurejesha imani kwa Watanzania kama Serekali italiacha Jeshi la Polisi kuendelea kujitafutia mali badala ya kufanya kazi za umma kwa weledi.
-CCM haina chake Tanzania bila kurejesha imani kwa Watanzania kama haitwapa uhamisho Polisi mara kwa mara ambao ndio wanasababisha kukua kwa rushwa nchini.
-CCM haina chake Tanzania bila kurejesha imani kwa Watanzania kwa kkubali Demokrasia nchini kwa kuwaacha Watanzania wachague chama wanachokitaka.
-CCM haina chake Tanzania bila kurejesha imani kwa Watanzania katika kukuza sekta ya elimu na kufanya elimu iwe sawa kwa wote.
<!--[if gte mso 9]><xml> <w:LatentStyles DefLockedState="false" LatentStyleCount="156"> </w:LatentStyles> </xml><![endif]--><!--[if !mso]><object classid="clsid:38481807-CA0E-42D2-BF39-B33AF135CC4D" id=ieooui></object> <style> st1\:*{behavior:url(#ieooui) } </style> <![endif]--><!--[if gte mso 10]> <style> /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;} </style> <![endif]-->
 
Hii ndiyo maana ya jf photo sio mapicha mengine kama ze utamu .thnx mleta picha inatupa wakati wa kufikiria kuhusu wanao tuzunguka unaweza kuwa kama huyo mtoto nyumbani ,ofisini,kwenye gari au popote pale na tel u the truth kutoa kunakufanya uwe na furaha zaidi kuliko kupokea ,naipenda jf.
 
534183_497785513582394_1149510025_n.jpg
 
Mara moja moja siyo mbaya,hako katoto inaonekana ni katundu
 
uyu dogo anaonekana ni pasua kichwa kwa wazazi wake. ..haowever, adhabu ya viboko napinga kabisa.
 
bila hii watoto ndo wanakuwa kama walivyo sasa! we angalia wanafunzi wa skuizi kama ma wacheza dance bana kwaajili ya kutokuchukua hatu hizi walimu!
 
Hata katika Biblia katika kitabu cha Methali kuna mahali pameandikwa .....usimnyime mtoto kiboko....
 
Binafsi naona kuchapa kwa kiasi si vibaya kuliko kumwacha kabisa. Hebu angalia watoto wa wanaotuhamasisha tusiwachape watoto wetu, wa kwao wakoje? Ndiyo haoutasikia kachukua bunduki kwenda muua baba na mama yake, mwalimu n.k. Biblia na Qurani pia zimehimiza adhabu za namna hii kwa watoto, ila tu isiwe kupita kiasi.
 
Back
Top Bottom