Grand malt: Msaada katika After Effects

kingsley

Member
Aug 4, 2012
42
13
Jama naomba ushauri kwan kwa muda sasa nimekuwa nikitumia hiki kinywaji lakini nnapo amka asbhi kichwa hwa kinak'wa kizito na mdomo k'wa mzito na kama michbko flani kwenye 'limi hlp pl'z je kina matatizo flani kwa wa2miaji?
 
Kwani wewe unamatatizo gani mpaka uwe unakunywa energy drinks. Nchi zingine hivyo vinywaji vyapatikana mahosipitalini tena uandikiwe na dr. Endelea kuyachosha maini yako.
 
Kwani wewe unamatatizo gani mpaka uwe unakunywa energy drinks. Nchi zingine hivyo vinywaji vyapatikana mahosipitalini tena uandikiwe na dr. Endelea kuyachosha maini yako.
yah!mwili hwa na matatizo ya energy so nikawa nat'mia ili k'pata energy .
 
Unatakiwa ufanye mapenzi baada ya kuitumia ndo mana unaamka hivyo ukitumia lala na mkeo kama huna ht mpenzi tafuta changudoa
 
Unatakiwa ufanye mapenzi baada ya kuitumia ndo mana unaamka hivyo ukitumia lala na mkeo kama huna ht mpenzi tafuta changudoa
hak'na sol'tion nyingine apart 4m ths coz mpenzi y'ko mbali na ni kweli kwamba k'fanya sex k'taondoa tatizo ?madhara ya mda mref ni yapi kwa m2miaji.
 
Kumbe! Mi nilijua kinywaji tu kwaajili ya kuburudisha mwili
 
hak'na sol'tion nyingine apart 4m ths coz mpenzi y'ko mbali na ni kweli kwamba k'fanya sex k'taondoa tatizo ?madhara ya mda mref ni yapi kwa m2miaji.
Unatafuta ya muda mrefu, wakati ya muda mfipi Unahangaika nayo?
 
Grand malt sio kinyaji cha kuongeza nguvu.labda kama unaongelea redbull and the like
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom