Recent content by Kingo

  1. Kingo

    JamiiForums Tanzania Je mafanikio ni uchaguzi maalum kutoka kwa "higher power"?

    Labda tujue kwanza utajiri ni nini! Bahati haifanyi kazi kwenye economic dynamics! Kwamba nchi masikini hazina bahati na juhudi kiasi? Nope, kila kitu kinapangwa/ kimepangwa kwa mfumo wa hali ya juu na wachache. Mfano: USA inaongoza kwa madeni, lakini deni lake sio kama nchi za Kiafrika. Wao...
  2. Kingo

    JamiiForums Tanzania Je mafanikio ni uchaguzi maalum kutoka kwa "higher power"?

    Hiyo 99% inatawaliwa na kung'amuliwa mambo na hiyo 1%. Ni mfumo uliojikita mizizi katika kuficha maarifa ya dunia hii, ikijumuisha elimu, afya, utajiri, imani, nk. Wanapanga magonjwa, na dawa gani zitumike kutibu. Kama unavyompinia kiwango cha uji au maziwa mtoto mdogo, awe ameshiba au la...
  3. Kingo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu teuzi

    Argumentum ad hominem
  4. Kingo

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Refer "Forbidden Knowledge" and "Forbidden Archeology"
  5. Kingo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki anahitajika

    PM
  6. Kingo

    JamiiForums Tanzania Shida ya PC display: Msaada

    PC Acer Aspire E5-573 inadisplay nusu ya monitor. Sababu na namna ya kutafuta tatizo hilo?
  7. Kingo

    JamiiForums Tanzania 'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

    Naambatanisha nakala, inafaa kujisomea kuongeza wigo wa hoja "Bloodline of the Gods
  8. Kingo

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka akutana na jamii mpya

    Sawa, hiyo Jamii Mpya inahusisha watch gani? Kwanini wakutane ofisi za chama? Inahusisha wasio wanachama wa chama walipokutanika? Fursa zipi na uwezo utapimwaje?
  9. Kingo

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

    "Watupu" ukapimwe kifaduro. Pwani je, hujaona?
  10. Kingo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji miwani ya macho

    Nilipokuelekeza wanapima macho na kuuza miwani, jirani tu na Agha Khan. Old Stand ya daladala mjini
  11. Kingo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji miwani ya macho

    Cheki ilipokuwa stand ya daladala jirani na Holyland Pharmacy
  12. Kingo

    JamiiForums Tanzania wanajanvi wenye uelewa wa hzi koz aweke madin tuelewe vizur

    A desperate and stupid response
Back
Top Bottom