73.8 percent of the population is Jewish,Msichokijua nyie mnaoshabikia dini ni hiki
1. Palestina kuna wakristo pia
2. 30% ya waizraeli ni waislamu 21% ni waorthodox 19% ni wakristo. Waliobaki ni dini zingine
Hii vita ni ya maeneo siyo dini japo kuna udini umeingizwa wa msikiti wa Al Aqsa ili wapalestina wapate sapoti ya waislamu wa Israeli.
Kwa hiyo tuhangaike na Waarabu ?Unaangaika na watu ambao wanakuona nyani tu Waafrika tuache kushobokea Wazungu(najua utasema Waisrael sio wazungu)
Usitangulize Ukristu kwenye ujinga, hawa walichokifanya ni ujinga wa hali ya juu, na wanalipwa kwa kadiri ya matendo yao. Kwanza ungekuwa na akili kidogo ungekumbuka Palestina ndio mojawapo ya nchi iliyoshirikiana na Idd Amin kuua wanajeshi wa Tanzania kwenye vita na Uganda.Mimi ni mkristo, na siungi mkono unyanyasaji unaofanywa na Israel kwa wapalestina. Kila siku watoto wanauwawa hapo Palestina. Imefika muda kifo sio tishio tena kwao.
Haya wanayoyapitia Israel leo, wapalestina wanayapitia kila siku. Acha na wao waone uchungu wa kupoteza ndugu zao.
NB: Nimeshangaa kuona wale jamaa wanaopinga Russia kuivamia Ukraine, leo wako upande wa Israel ambae ni mvamizi wa ardhi ya Palestina. Mbinguni mtapasikia tu kenge wanafki nyinyi!
Hivi wewe si mshabiki wa jinai za Urusi hapo Ukraine ? Israeli anaandaa Bahmut ndogo hapo Gaza.Mtu yoyote mpenda Amani hawezi sapoti mauaji na unyanyasaji wa Israel .
Tizama hii hii graphic image, haiitaji kujua kispanyola kuweza kuielewa
View attachment 2774680
Nimesema, na hakuna kitu utafanya Chief!Kuna mtu kauliza utambulisho wa Dini yako kwani???
Punguza miwasho
Iran ilete na wapiganaji. Isiishie kutoa matangazo[emoji1130]Irani imetangaza kutoa full sapoti kwa opesheni Al aqsa Palestine.
kama hauelewei, eneo looote hadi mfereji wa suez, hadi jordan hadi mpakani na syria, ni mali ya israel. hakuna eneo hata moja wapalestina wanaishi ambalo sio mali ya wayahudi, Mungu aliwapa urithi wa milele. ushahidi upo. read the Bible.
permanides Cheki kumbukumbu zako vizuri. Palestina walikuwa ni marafiki wa J K Nyerere na wana ubalozi wao mpaka leo maeneo ya Upanga Dar es Slaam.Usitangulize Ukristu kwenye ujinga, hawa walichokifanya ni ujinga wa hali ya juu, na wanalipwa kwa kadiri ya matendo yao. Kwanza ungekuwa na akili kidogo ungekumbuka Palestina ndio mojawapo ya nchi iliyoshirikiana na Idd Amin kuua wanajeshi wa Tanzania kwenye vita na Uganda.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Yaani mkiingiza dini kwenye hii vita lazima muwe bias, Palestina na Israel wote wanatetea makazi Yao. Ukristo uliletwa na wazungu waliokuja kututawala na uislamu uliletwa na waarabu waliokuja kuwafanya Babu zetu kua watumwa. Wote waarabu na Waisraeli wanatuona mbwa tu linapokuja suala la kutetea makazi yaoWewe mkristo Israel wanakuona ni mbwa tu.
Vita haina formular chochote unaweza tumia vitani.Nimeshangaa wanatumia gari ndogo double cabin kwenye mapambano badala ya mashine za vita
Kwahyo wa palestine hawana mungu au mungu wao ni tofauti na waisrael walokole leo mnahahaMungu wa Israel na baal siku zote Mungu wa Israel huwa anashinda kwa kishindo. hamas wanawaumiza tu raia wa palestina, ukiangalia kwenye video, israel hata amburance ni nyingi mitaani zinaokoa watu, palestina hata amburance huzioni, wanakufa kibudu.
Bora uwaambie wenzako wanashabiki israel wanajua wakristo wenzaoIsrael na Palestine siyo jamii za kikristo
Ona ili jinga, hiv uvamie ardhi ya mtu alafu ukidaiwa ushahidi useme ni Mungu alikupa? Mna akili nyie? Hao wayahudi hawakuwai kuwepo hapo hata maandiko wakitumia hayathibitishi israel ya biblia ndio iyo ardhi ya palestina.kama hauelewei, eneo looote hadi mfereji wa suez, hadi jordan hadi mpakani na syria, ni mali ya israel. hakuna eneo hata moja wapalestina wanaishi ambalo sio mali ya wayahudi, Mungu aliwapa urithi wa milele. ushahidi upo. read the Bible.
Wewe unavyoumia kwani ni mwarabu?kwanini umeruka bara lako ambalo nalo lina migogoro na kugushwa na jamii ya bara lingine kama sio athari za utumwa ni nini?au hicho kitabu cha mod kimekupa mzuka?Kusema eti ushahidi ni biblia, inaonyesha jinsi gani uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kupitiliza. Yani uko serious kabisa, eti watu waliokaa sehemu vizazi kwa vizazi, wawapishe wale jamaa eti kwa ushahidi wa maandiko ya kwenye biblia? Au unatania?
Wewe kuiamini biblia haifanyi watu wengine pia wawe na ulazima wa kuifuata. Hao jamaa wenyewe unaosema ushahidi wao upo kwenye biblia, hawaiamini hiyo biblia. Na wamefikia hatua ya kuwatemea mate wakristo.
Hebu leta hoja yenye mashiko, na sio hizi hekaya!
Imani na vitabu vya kale bado vinawatesa watu. Izi Imani badala ya kuleta upendo na umoja kwa binadamu zimeleta VITA, Leo hii kunguru wasio na dini wanaishi kwa umoja na amani kuliko binadamu.Mpaka muda huu sidhani kama kuna ambaye hajajua kinachoendelea huko Mashariki ya kati between Israel and Palestine.
Kwa upande wa Palestine, mapema leo asubuhi wameanzisha peration maalum ijulikanayo kama 'operation Al aqsa' inayojumisha makundi ya wanamgambo wa Hamas na Hesbola yenye lengo la kukomboa maeneo ya Palestina ambayo yanakaliwa kimabavu na Israel, like ukanda wa Gaza.
Katika kujibu mashambulio hayo mabaya zaidi kutokea Israel tangu miongo kadhaa iliyopita, waziri mkuu wa Israel ametangaza rasmi ya kuwa nchi yao ipo vitani na 'operation Iron sword' tayari imesha anza.
Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti waisraeli 100 wameshauwawa na wanajeshi w 57 wametekwa, wakati kwa upande wa wapestina, watu wapatao 120 wameuwawa. Inasemekana jumla ya majeruhi imefikia elfu 1000 so far.
Je, ni operesheni ipi itaibuka kidedea?? maana hali inazidi kuwa mbaya kila dakika inapokata.