Recent content by kingmajay

  1. K

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Meno

    "Tiba ya jino ni kung'oa", huo ni msemo ambao huko mtaani na hauna maana yoyote. Jino linaweza kutibiwa bila ya kung'olewa, kuna hospitali hapa Dar (kwa mfano Muhimbili, Temeke, Ilala, Agakhan) zinatoa huduma/tiba ya meno bila kung'oa. For more information, tembelea hospitali, onana na daktari...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dont get merriage

    Still searching......
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mgawo wa umeme umerudi?

    Wanaona aibu kutangaza kwani walijitapa kuwa wamekamilika katika kukabiliana na tatizo la mgao, kitu kimyakimya speed 120 kwenye kona nshaaaahhhh.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Leo Wakuu ni Kufunguka Kuhusu Wahaya Unavyowajua!

    Ni watu wa kupapatikia mambo, ndio maana wanamegwa kwa sana.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mbona mna watoto wawili

    Well said JACADUOGO2
  6. K

    JamiiForums Tanzania Diamond ampa kipigo Wema Sepetu amharibu uso kisa sms ya mapenzi

    Ndiyo wagombanao
  7. K

    JamiiForums Tanzania Africa after Gaddafi

    Well said my man.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wajue MADIKTETA 11 wenye vituko

    Serikali ya Tanzania imewafanyia nini cha maana waTanzania kama wajibu wake? Sanasana tunasikia na kushuhudia viongozi wanavyoshindana kuiba mali za nchi kwa manufaa yao binafsi despite of the fact that hii nchi imejaliwa mali nyingi sana. To me bora ya Gaddafi kuliko serikali ya Tanzania, he...
  9. K

    JamiiForums Tanzania So......Will You????

    Sugari ya MUNGU inafanya watu wabuni mbinu nyingi, kila wakati helo baby, helo honey, majina matamu-matamu ataitwa binti wa watu na wanajifanya wako serious na kitu ndoa ili wairambe sukari ya MUNGU na wakisha iramba tu wanaanza kujifanya wako bize na mambo ya msingi kwanza. Utasikia niko bize...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    Tuko pamoja hapo kwenye red, sioni sababu ya kuwa na size kuubwa ya uume ili u-enjoy.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    Well said, mimi binafsi huwa natumia hii njia, ni nzuri na salama zaidi ukiizingatia.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dada yangu anaumwa ugonjwa wa ajabu!

    Kwa ushauri, nenda kamchuke uende nae hospitali. Kama yuko mbali na wewe, mshauri aende hospitali.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Man Six mpooo............

    You will never walk alone.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini cut-off point zimeshuka hapa?

    Umenena vyema kabisa mzee
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mitazamo yenu plz ktk hili...!

    HASWAA, hiyo red ndiyo jambo la msingi ambalo hao mashost wako walitakiwa wakushauri na si kukucheka. Weka mambo ya vipimo sawa, kanyaga twende mdada.
Back
Top Bottom