Diamond ampa kipigo Wema Sepetu amharibu uso kisa sms ya mapenzi

Wema should quit this childish relationship before futher disasters.

Miss Tanzania Wema na Diamond bongo fleva??? kweli love is blind
 

Hata angemfungia ndani akamtwanga kimya kimya bado ni udhalilishaji.
Na si udhalilishwaji tu, domestic violence ni abomination, ni jinai, ni ugaidi, ni human rights violation, ni udhalimu. Sio "udhalilishaji wa aina yake." Hivi mtajikomboa lini Gaijin?

Matokeo ya kusubiri Mwanamme "awawezeshe," Mwanamme mwenyewe wa Tanzania bado anafafana na Zinjanthropus wa Kondoa Irangi, wako humu wanasema kutwanga mwanamke ni "mambo binafsi" yanayohusu "wapendanao." Hawa hawawezi kuwawezesheni.

Zingatia "wa aina yake" baada ya neno "udhalilishaji". Kupigwa akiwa kafungiwa, kutukanwa, kunyanyaswa chumbani wakiwa peke yao yote ni udhalilishaji, ila huu wa kutoka hadi gazetini ni "wa aina yake". Ni sawa na tofauti ya mtu akuvue nguo mbele ya watu wazima wa jinsia yako wawili au mbele ya kadamnasi ya watu wakubwa kwa wadogo, wake kwa waume....."aibu ya aina yake"

Mimi msimamo wangu nishausema sana hapa JF kuwa akinitishia tu kunipiga ndio uhusiano wetu umeisha seuze anipige!

Yaani lazima nimfikishe kwenye vyombo vya sheria na kwa kunitoa kwenye gazeti lazima ni m-sue-lie mbalini.

Watanzania hatutaacha tabia hizi mpaka afungwe mtu.

NB: Nilikuwa nje ya nchi na nishawahi kumfikisha Mwafrika mmoja polisi kwa makosa ya kunishika bila ya ridhaa yangu. Sina imani na litoto la mtu hata kidogo.
 
Wema ni cha wote Diamond alijua hilo toka mwanzo. Kanumba, Mr. Chuzi, Chalz baba, Mr. Blue na wengine kibao wamepita dalajani. Iweje leo hii anashangaa.
 
Wivu umetoka wapi tena Diamond?si nilisikia umeuacha mzigo, acha masela wautendee haki.
 
Alichofanya Diamond (kama ni kweli) si sahihi na ni dalili ya mabaya huko mbeleni. Mkishafikia hatua ya kutwangana ngumi basi ni bora muachane tu. Ingawa wapo wasioamini katika kuachana lakini mimi nadhani huo ndiyo uamuzi wa busara zaidi.

Lakini huyo Wema naye, iweje awe anatumiwa hizo jumbe za kimapenzi wakati tayari ana mpenzi (au sijui mchumba/ mume mtarajiwa)? Jambo hilo linanifanya nifikirie labda huyo mdada si muaminifu kama inavyopaswa. Na kama siyo muaminifu kwa nini bwana mdogo Diamond amchumbie? Si ni bora awe anamtomba tu kama kipoozeo hadi atakapopata mwanamke wa maana!
 
kumbe kabigwa tu. Avumilie.
Kikwetu mwanamke akipigwa.
Anasema "kapa tu meku, kapa tu meku" hurusiwi kurudisha wala kuzuia. Avumilie tu.
 
... ila huu wa kutoka hadi gazetini ni "wa aina yake".
Kwa muono wangu, ni bora itoke gazetini ili vitendo hivi viwe exposed and dealt with. Domestic abuse nyingi huwa haziripotiwi, hivyo zinazidi kuendelea.

Aiseeee.......wameshaanza .. na kutwangana?????
Kutwangana? Wametwangwa wangapi? Victim wa physical assault hapa ni mmoja tu, mwanamke. Kumtwanga mwanamke haikubaliki. Wema angekuwa dadaangu katwangwa halafu hatua za kisheria haziheshimiwi na jamii inaona ni poa tu na kucheka cheka about it ningepata masela wam-Kameruni jamaa.
 
Wote wamekutana pipa na mfuniko wanajuana. Wakupamba magazeti wenzio wanaandikwa kwa maendeleo wao ujinga ujinga tu,
 
Back
Top Bottom