Wajue MADIKTETA 11 wenye vituko

Wajue MADIKTETA 11 wenye vituko

1. Jean belel Bokassa: (Central Africa🙂
Alijipachikia mwenyewe Ufalme.
aliumia kiasi cha robo tatu ya bajeti ya mwaka Kuutukuza Ukoloni mamboleo
2. Ferdinand Marcos: (Philipines)
alipotimuliwa madarakani mwaka 1986, alikimbilia Hawaii na kiasi cha vipande 24 vya dhahabu,vilivyokadiriwa kuwa na thamani ya dola Billioni 35..(Du)
3. Papa Doc Duvalier: (Haiti)
mwaka 1963 aliamini vyama vya upinzani vimeshageuke kuwa kama mbwa weusi hivyo jamaa akaamuru Kuuliwa kwa mbwa wote weusi nchini Haiti!
4. Iddi amini Dada (Uganda)
Mwaka !977 alijipa mwenyewe Cheo Mweshimiwa mkuu sana , Rais wa Maisha, Field Marshall Al Hadj Doctor Idi Amini Dada. VC, DSO, MC, CBE, Congueror of the British Empire) Chunga sana watu wanaopenda kujitunukia Vyeo.. kila kukicha Dr..DR...
5. Gnassingbe Eyadema: (Togo)
Amejizungushia mwenyewe wanawake vimwana 1000 wanaolipwa kwa kumliwaza.
6.We Win.(Burma)
Jamaa alibadilisha fedha kutoka tarakimu za 10,20,30 hadi 15,35,45,75.. yaani kutoka namba shufwa na kuweka witiri zanye 5 at end, kwa sababu aliamini ndizo namba zenye bahati. Baada ya miaka miwili akabadili tena.
7. Kim Jong Il(North Korea)
Mzee wa mikogo, miaka na miaka anavaa jaketi moja tu lile lile kila siku.
anamiliki zaidi ya video 20,000
8. Enver Hoxha(Albania)
amejijengea mwenyewe zaidi ya mapiramidi 750,000 ya Zege kisa kujilinda na maadui. wakati ambao inchi ina idadi ya wakazi milioni tatu tu.(jamaa analinda hadi nyau
9. Mobutu sese seko. (Zaire)
Alikataa mwanasiasa yeyote mwingine asitamkwe wala kuonekana kwenye TV
Alitumia Madege makubwa ya Concorde kama usafiri wa kwenda shopping tu.
10: Saparmura Niyazov.(Turkmenistan)
Alibadilisha majina ya miezi na kuita majina ya familia yake.
alipiga marufuku meno ya dhahabu
Piga marufuku lip stick
akajijengea kasri la barafu karibu na Ikulu ingawaje Turkumenistan ni jangwa.
11: Muamar Gaddafi: (Libya)
alijichagulia mabodyguard vimwana na bikira.
Haamini mtu yeyote hata damu yake

kama una orodha zaidi tumiminie..

tuma kama hii ya waafrika peke yao
 
jk kupewa Dr Dr Dr Dr Dr kanali mh. JK mzee wa magogoni na kukaa nje ya nchi yake siku 365 1/4.Hivi siku hizi yuko nchi gani vile!!
 
Tatizo udikteta wa Ghadafi unatokana na vyombo vya magharibi na sisi watanzania 2merely huko.Ghadafi is th HERO of Africa.
 
Mkuu tatizo watu wanatofautisha kati ya wajibu wa serekali na kuona kama fadhila. Kama uwezo upo serekali inapaswa kufanyia mema raia wake lakini lazima kuwe na uhuru wa kweli kwa hao raia.
Serikali ya Tanzania imewafanyia nini cha maana waTanzania kama wajibu wake? Sanasana tunasikia na kushuhudia viongozi wanavyoshindana kuiba mali za nchi kwa manufaa yao binafsi despite of the fact that hii nchi imejaliwa mali nyingi sana. To me bora ya Gaddafi kuliko serikali ya Tanzania, he did lots of things for his home countries, (Huduma za jamii zote bure nchi nzima). Hapa bongo ni huduma gani ya jamii unapata bure? Wananchi wanakufa mahospitalini kwa kukosa dawa, unaenda hospitali unaambiwa huduma fulani (eg x-ray) haipatikani kisa x-ray films hakuna, waTanzania hatupati huduma ya maji safi na salama, watoto wanashindwa kusoma kwa kukosa ada, serikali inashindwa kusomesha wanafunzi chuo kikuu ikidai haina pesa huku tukisikia na kushuhudia mabilioni ya pesa yakiibwa kutoka hukohuko serikalini, to mention few.
Man Gaddafi, May Almighty LORD Rest Your Soul In Peace, AMEIN.
 
Kujifanya rais wa maisha na Libya kama nchi ya ukoo wake, kwa kumuandaa
Sef El Islamu kumurithi, lakini NTC wakamuwahi na mpango wake huo haramu.

RIP Dictator Gaddafi

Ni kheri kutawaliwa na dikteta anayeiba huku akihakikisha wananchi wake wanaishi maisha mazuri kuliko kutawaliwa na makuwadi wa demokrasia wanaofuja nchi huku wakijificha kwenye kichaka cha utawala bora na hivyo kutoshitakika mahakamani!!! Ni upuuzi uliopitiliza kwa mwananchi wa kawaida kushabikia upuuzi unaoitwa demokrasia unaopigiwa debe na wanasiasa kv wanafahamu panapo na upuuzi wa demokrasia za kimagharibi wao watapata nafasi za kuomba kura wapate kula!! Hivi mtu kama mimi nisiye na sifa hata ya kugombea uenyekiti wa mtaa demokrasia ya kisiasa itanisaidia nini nikilinganisha na uhakika wangu wa kesho unaotokana na huduma bora za afya, maji safi na salama, lishe isiyo na mashaka, huduma bora za elimu!!!! Inawezekana ni kweli kwamba Gaddafi alikuwa ni Dikteta lakini hata hivyo udikteta wake ulikuwa dhidi ya wanasiasa ambao waliathirika na mfumo huo ambao uliwanyima na wao nafasi ya kutawala. Nikimuona Dr Slaa, Mbowe, Zitto Kabwe na wengine kama hao wakiandamana au kuhamasisha kuandamana nawaelewa kwa 100% kv nafahamu ni kwanini wanafanya hivyo!
 
waziri membe anamlilia gadafi kwasababu ya njaa zake akienda libya mara kwa mara alipewa suti na kokoko pamoja na vipande vya dhahabu kadhaa pia alimtunuku ****** mabenz yale anayotumia kwenye msafara wake na riz kapewa kitalu karibu na seif islam ni swaiba wake mkubwa na riz,wanashindana na riz kuendesha magari makali na kumiliki vito vya thaman
 
1. Jean belel Bokassa: (Central Africa🙂
Alijipachikia mwenyewe Ufalme.
aliumia kiasi cha robo tatu ya bajeti ya mwaka Kuutukuza Ukoloni mamboleo
2. Ferdinand Marcos: (Philipines)
alipotimuliwa madarakani mwaka 1986, alikimbilia Hawaii na kiasi cha vipande 24 vya dhahabu,vilivyokadiriwa kuwa na thamani ya dola Billioni 35..(Du)
3. Papa Doc Duvalier: (Haiti)
mwaka 1963 aliamini vyama vya upinzani vimeshageuke kuwa kama mbwa weusi hivyo jamaa akaamuru Kuuliwa kwa mbwa wote weusi nchini Haiti!
4. Iddi amini Dada (Uganda)
Mwaka !977 alijipa mwenyewe Cheo Mweshimiwa mkuu sana , Rais wa Maisha, Field Marshall Al Hadj Doctor Idi Amini Dada. VC, DSO, MC, CBE, Congueror of the British Empire) Chunga sana watu wanaopenda kujitunukia Vyeo.. kila kukicha Dr..DR...
5. Gnassingbe Eyadema: (Togo)
Amejizungushia mwenyewe wanawake vimwana 1000 wanaolipwa kwa kumliwaza.
6.We Win.(Burma)
Jamaa alibadilisha fedha kutoka tarakimu za 10,20,30 hadi 15,35,45,75.. yaani kutoka namba shufwa na kuweka witiri zanye 5 at end, kwa sababu aliamini ndizo namba zenye bahati. Baada ya miaka miwili akabadili tena.
7. Kim Jong Il(North Korea)
Mzee wa mikogo, miaka na miaka anavaa jaketi moja tu lile lile kila siku.
anamiliki zaidi ya video 20,000
8. Enver Hoxha(Albania)
amejijengea mwenyewe zaidi ya mapiramidi 750,000 ya Zege kisa kujilinda na maadui. wakati ambao inchi ina idadi ya wakazi milioni tatu tu.(jamaa analinda hadi nyau
9. Mobutu sese seko. (Zaire)
Alikataa mwanasiasa yeyote mwingine asitamkwe wala kuonekana kwenye TV
Alitumia Madege makubwa ya Concorde kama usafiri wa kwenda shopping tu.
10: Saparmura Niyazov.(Turkmenistan)
Alibadilisha majina ya miezi na kuita majina ya familia yake.
alipiga marufuku meno ya dhahabu
Piga marufuku lip stick
akajijengea kasri la barafu karibu na Ikulu ingawaje Turkumenistan ni jangwa.
11: Muamar Gaddafi: (Libya)
alijichagulia mabodyguard vimwana na bikira.
Haamini mtu yeyote hata damu yake

kama una orodha zaidi tumiminie..[/QUOTE

BENJAMINI MKAPA KAJIUZI KIWILA KWA BEI CHEE
 
ghadafi aliuwa wapinzani wake wote.
alifadhili ugaidi duniani.
alifadhili vita alivyoamini kuwa anaepingana na huyo aliyemsapoti ni dini tofauti.
alichikiwa na watu wake(ndio maana walimwua au kushangilia kifo chake)
ALIMKUFURU MUNGU KUJIITA MFALME WA WAFALME.
ALIWAFANYA WATU WA NCHI YAKE KUWA WATUMWA(ALIWAJENGEA NYUMBA SARESARE)
ALIAMINI MAENDELEO YA MALI NI BORA KULIKO MAENDELEO YA WATU NA DEMOKRASIA.
ALIZOEA KUHONGA KWA PIPI BAADA YA KUFANYA UNYAMA(TANZANIA NA WAASI ALIOWAAHIDI DHAHABU NA MABILIONI YA DOLA BAADA YA KUKAMATWA)
ALIPINGANA NA MWENYEZI MUNGU KWA KUTAMKA WANAWAKE NI MAKINI KULIKO WANAUME(FUATILIA QURAN UONE INASEMAJE KUHUSU WANAWAKE)
ALITAKA KUITAWALA AFRIKA KIMABAVU(ALIPOMALIZA MUDA WAKE AU)
ALIZILAZIMISHA NCHI ZA KIARABU ZIMCHAGUE KUWA KIONGOZI WA UMOJA WAO ZIKAMSHTUKIA.
ALIVAA MAVAZI YA KIKE WAKATI VITABU VITAKATIFU VILIKATAZA.
ALIWALEA WANAE KIDIKTETA MPAKA ILIFIKIA KULETA MITAFARUKU DUNIANI.
ALIAMINI MAFUTA NI BORA KULIKO UTU(ALITAKA KUBADILISHANA MATEKA NA SERIKALI YA TANZANIA)
ALIWAFANANISHA WANACHI WAKE NA MENDE NA PANYA(KITABU KINASEMAJE?)
ALIUA RAIA WASIO NA HATIA LOKERBY.

KAMA ANGEKUWA MZURI KWA WATU WA ASINGEDHALILISHWA NAMNA HIYO BILA HATA DUNIA KUPIGA KELELE NA SEHEMU KUBWA YA WALIBYA KUSHANGILIA KWA FATAKI NA MAGARI BARABARANI.

SWALI TANZANIANI KIPI TUNACHOMPENDEA GHADAFI? NA KUANZIA LINI?
Hizo ni Propaganda.
Eti kuwajengea nyumba sare sare ndio kuwafanya watumwa?
Wewe serikali yako imekujengea hata kibanda cha nyasi?
 
This place being are not prvt room! Lyk w.b.c ect! Crideble 4 wht am talkin' abt! To release some 1 2 announce rabish or any waste! It means 2 allow plenty of PUMBA with related matter being sustainable! Early prevent b4 cure!
 
Serikali ya Tanzania imewafanyia nini cha maana waTanzania kama wajibu wake? Sanasana tunasikia na kushuhudia viongozi wanavyoshindana kuiba mali za nchi kwa manufaa yao binafsi despite of the fact that hii nchi imejaliwa mali nyingi sana. To me bora ya Gaddafi kuliko serikali ya Tanzania, he did lots of things for his home countries, (Huduma za jamii zote bure nchi nzima). Hapa bongo ni huduma gani ya jamii unapata bure? Wananchi wanakufa mahospitalini kwa kukosa dawa, unaenda hospitali unaambiwa huduma fulani (eg x-ray) haipatikani kisa x-ray films hakuna, waTanzania hatupati huduma ya maji safi na salama, watoto wanashindwa kusoma kwa kukosa ada, serikali inashindwa kusomesha wanafunzi chuo kikuu ikidai haina pesa huku tukisikia na kushuhudia mabilioni ya pesa yakiibwa kutoka hukohuko serikalini, to mention few.
Man Gaddafi, May Almighty LORD Rest Your Soul In Peace, AMEIN.

Mkuu kuna hii wanatudanganya shule za msingi bure ila ukweli wa mambo imekuwa garama kuliko enzi zile ikiwa ni kulipia. Viongozi wetu wa TZ maneno yanakuwa against vitendo kulikoni?
 
Hata yule unamuamini na kumuamudu alidhalilishwa MSABANI na Mayhudi na kuburuzwa na Msalaba wake. Wewe mgalatia usie na akili naini kakuroga?
huyo unayemsema yaliandikwa kabla na yeye alitabiri juu ya mateso na kifo hakuzaa,hakuoa na baada ya kifo alifufuka.
halafu kaka punguza munkari.
kasome tena kitabu chako kitakatifu juu ya huyo unayemasema.SOMA;QURAN,. SURATUL MARIAM 19.
ukimaliza ni pm.
 
hizo ni propaganda.
Eti kuwajengea nyumba sare sare ndio kuwafanya watumwa?
Wewe serikali yako imekujengea hata kibanda cha nyasi?

kaka ndibalema, binadamu anataka maendeleo ya jumla kama unashindwa yote mpe uhuru na elimu hapo utafanikiwa kuwa na amani nae.
Usilogwe ukamnyima hivyo vitu halafu ukampa maendeleo yoote duniani ikiwa ni pamoja na kumiliki kila kitu,majumba,magari,mke na mahari(hata kama malaika),ndege,meli ardhi nk.hapo utakuwa unajichimbia kaburi ambalo kukujia inategemea.
Duniani kilichofanikiwa kufugwa ni baadhi ya wanyama na ndege,hata hao kuna wakati unatakiwa tahadhari kubwa.
Ukidanganya watu sio mbaya kwani wewe utakuwa unajua ni uongo ila ukijidanganya wewe ni mbaya sana kwani watu ndio watajua kuwa ni uongo.
 
1. Jean belel Bokassa: (Central Africa🙂
Alijipachikia mwenyewe Ufalme.
aliumia kiasi cha robo tatu ya bajeti ya mwaka Kuutukuza Ukoloni mamboleo

2. Ferdinand Marcos: (Philipines)
alipotimuliwa madarakani mwaka 1986, alikimbilia Hawaii na kiasi cha vipande 24 vya dhahabu,vilivyokadiriwa kuwa na thamani ya dola Billioni 35..(Du)

3. Papa Doc Duvalier: (Haiti)
mwaka 1963 aliamini vyama vya upinzani vimeshageuka kuwa kama mbwa weusi hivyo jamaa akaamuru Kuuliwa kwa mbwa wote weusi nchini Haiti!

4. Iddi amini Dada (Uganda)
Mwaka !977 alijipa mwenyewe Cheo Mweshimiwa mkuu sana , Rais wa Maisha, Field Marshall Al Hadj Doctor Idi Amini Dada. VC, DSO, MC, CBE, Congueror of the British Empire) Chunga sana watu wanaopenda kujitunukia Vyeo.. kila kukicha Dr..DR...

5. Gnassingbe Eyadema: (Togo)
Amejizungushia mwenyewe wanawake vimwana 1000 wanaolipwa kwa kumliwaza.

6.We Win.(Burma)
Jamaa alibadilisha fedha kutoka tarakimu za 10,20,30 hadi 15,35,45,75.. yaani kutoka namba shufwa na kuweka witiri zanye 5 at end, kwa sababu aliamini ndizo namba zenye bahati. Baada ya miaka miwili akabadili tena.

7. Kim Jong Il(North Korea)
Mzee wa mikogo, miaka na miaka anavaa jaketi moja tu lile lile kila siku.
anamiliki zaidi ya video 20,000

8. Enver Hoxha(Albania)
amejijengea mwenyewe zaidi ya mapiramidi 750,000 ya Zege kisa kujilinda na maadui. wakati ambao inchi ina idadi ya wakazi milioni tatu tu.(jamaa analinda hadi nyau)

9. Mobutu sese seko. (Zaire)
Alikataa mwanasiasa yeyote mwingine asitamkwe wala kuonekana kwenye TV
Alitumia Madege makubwa ya Concorde kama usafiri wa kwenda shopping tu.

10: Saparmura Niyazov.(Turkmenistan)
Alibadilisha majina ya miezi na kuita majina ya familia yake.
alipiga marufuku meno ya dhahabu
Piga marufuku lip stick
akajijengea kasri la barafu karibu na Ikulu ingawaje Turkumenistan ni jangwa.

11: Muamar Gaddafi: (Libya)
alijichagulia mabodyguard vimwana na bikira.
Haamini mtu yeyote hata damu yake

kama una orodha zaidi tumiminie..

Kwenye wekundu hapo: Hizo ni propaganda za watu wa Magharibi!! Hakuna udikteta wowote hapo!!

Dikteta Elizabeth II wa Uingereza ana vituko kweli yule. Nchi inatumia mahela kibao kuitunza familia yake, ametawala miaka zaidi ya 50!!!
 
Idi amin alipovamia nchi yetu Gadafffi alimuunga mkono kwa kuleta askari wake na zana za kijeshi kumsaidia amin. askari wake tuliwateka na Nyerere aliwarudisha kwao wakiwa hai: mngetekwa wabongo na Gadaffi mngerudi salama?
Kujifanya rais wa maisha na Libya kama nchi ya ukoo wake, kwa kumuandaa
Sef El Islamu kumurithi, lakini NTC wakamuwahi na mpango wake huo haramu.

RIP Dictator Gaddafi
 
wema awana maisha hakika watu wa libya watamkumbuka sana mhe gadaffi rais
wa afrika na mfalme wac wafalme nani mwingine wa afrika kama gadafi
 
Katika madikteta woote hao 11 uliowataja, natamani dikteta namba 11 angelizaliwa Tanzania. Hakika huyu ni nabii zaidi ya dikteta. Alipigania watu wake na nchi yake kwa vitendo. Na nyie mlio na fikra za kitumwa na mlioleweshwa mvinyo wa ubeberu wa magharibi ndio mnaweza kuuona udikteta wa nabii huyu. Ni kiongozi kiongozi pekee katika Afrika na nachelea kusema ulimwenguni aliyetumia rasilimali za nchi yake kwa faida ya watu wake. Wakati wa utawala wake aliwafanyia wananchi wake yafuatayo:

1. Alitoa elimu bora bure kwa wananchi wote.
2. Makazi ilikuwa ni haki ya kila raia wa Libya, alidiriki kusema hatamjengea baba yake nyumba mpaka walibya wote wapate makazi. Baba yake mzazi alikufa akiwa anaishi na ***** kwenye hema.
3. Kila wanandoa wapya walipotaka kuoana, walipewa us$ 50,000 za kujengea makazi mapya.
4. Mikopo ilitorewa bila riba, na bank zote zilimilikiwa na serikali.
5. Kila raia aliyetaka kununua gari mpya, 50% ya bei ililipwa na serikali.
6. Huduma za afya, umeme na maji zilikuwa ni bure kwa kila raia.
7. Kijana aliyemaliza digrii ambaye alikuwa hajapata ajira alilipwa mshahara sawasawa na ofisa wa ngazi yake aliyepo kazini.
8. Bei ya lita moja ya petrol ilikuwa ni dola 0.4, na kwa pesa hiyo hiyo ilinuna mikate 40.
9. Pato la raia kwa mwaka ilikuwa na wastani wa dola 11,000.00
10. Raia yoyote aliyetaka kulima alipewa ardhi bure, pembejeo na mifugo bure kwa ajili ya kuanzishia mradi wa kilimo.
11. Mpaka anatolewa madarakani kwa nguvu Libya haikuwa na deni lolote nje ya nchi.
12. Aliacha hazina kwenye mabenki ya nje inayofikia dola 150 bilioni.
13. Mpaka anaondolewa madarakani Libya haikuwa masikini, na wananchi wake walikuwa wanaishi maisha ya juu kuliko wajapani.
Je, dhambi yake kwa watu wake ni kutawala miaka 42? Yupi dikteta kwa watu wake kati yake na hawa wetu tunaowachagua kila baada ya miaka mitano na kuishia kuona rasilimali zetu zikijenga ulaya huku watu wetu wakishindia kisamvu kwa muhogo? Demokrasia maana yake ni umasikini?

HAKIKA GADAFFI NI MFANO WA VIONGOZI WALIOZIPENDA NCHI ZAO NA WATU WAO. FIKRA ZAKE ZITADUMU MILELE.
NATOA CHANGAMOTO KWA WAUJUAO UDIKTETA WA GADAFI WAELEZE UBAYA WAKE KWA WATU WAKE NI UPI?

Libya ni nchi iliyoendelea au inayoendelea mkuu.....!!!!!
 
Kuna mmoja anaitwa Moseuss Nguema wa Central Africa[ama Congo?]. Huyu aliua mpaka journalists. Ndiyo maana hakuvuma sana.
 
Back
Top Bottom