Recent content by King Tembo

  1. King Tembo

    UPDATE : Hatimaye mambo yamekaa vizuri kwa upande wangu na binti

    Sasa kwa nini usubiri ahitimu ndo umuachishe kazi? Si umuondoe sasa hivi tu mzee,sitaki kukuombea mabaya but,very soon you will cry
  2. King Tembo

    Ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa-fursa inayoibuka kwa kasi

    Wait a min,jina ni Rubaba ama Lubaba?
  3. King Tembo

    Nini cha kufanya endapo joto la gari lako limepanda?

    Vipi kuhusu kupaki gari bila kuzima na mshale wa temperature unapanda H ila ukiondoa mshale unarudi normal,hii inatokea nikipaki mlimani je ni tatizo au kawaida? geranteeh
  4. King Tembo

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO habari za usiku huu! Mimi niwapongeze sana kwa Kazi nzuri ya kukata umeme kila siku Mkuyuni Mwanza,kwa kweli hapo nawasifu hamfanyi makosa kabisa kama leo tokea saa 06:00Hrs mpaka saivi haujarudi,,mimi nasema chapeni Kazi acheni tulale kiza na tuamke kiza maana ndio furaha yenu. Usiku mwema
  5. King Tembo

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Fanyieni Kazi kweli,hii habari yw umeme leo upo kesho haupo iishe kama leo Mkuyuni tumeshinda umeme hakuna,umeme umerudi saa 1 kesho umeme utakuwepo lakini keshokutwa hauta kuwepo,mtuambie shida ni nini
  6. King Tembo

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari za jioni Tanesco! Naomba kufahamishwa,Je kuna mgao wa umeme jijini Mwanza?
  7. King Tembo

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari za usiku! Hapa kijijini huwaga kuna nguzo moja inayosumbua sana na ni miaka mingi mno kwa nini isibadilishwe ikawekwa mpya? Ukiangalia hata nyaya zake hazijakaa katika utaratibu mzuri,tanesco tunaomba mtubadiliahie,Ipo mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai kijiji cha lyamungo kati
  8. King Tembo

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwa nini mmekata umeme Mkuyuni mwanza jamani? Mcahan mlikata na usiku huu tena sasa tatizo ni nini? Mbona tuna haribiana siku hivyo? Rudisheni tafadhali nawaomba
  9. King Tembo

    Mkurugenzi wa Amazon, Jeff Bezos anakuwa mtu wa kwanza duniani kuwa na utajiri wa Dola Bilioni 200

    Talaka huwa ina ua uchumi wa mwanaume Sana,,bora hata ilikua 25% ingekua bongo si 50?
  10. King Tembo

    Salamo Arouch, bondia aliyeponyeka kwenye kambi za Nazi kwa kushinda mapambano 200

    Daah mpaka maafisa wa ki-Nazi wachoke kutazama ngumi?? 😂 ulikua ukatili sana
  11. King Tembo

    WHO: Corona Virus inaweza isiondoke

    Heee kwa hiyo maisha yatakua haya mpaka mwisho wa dunia maski mwanzo.mwisho,hakuna shule wala nini,,yani maisha kama ya 2019 BC(Before Corona) hayatakuwepo tena?
Back
Top Bottom