Recent content by king sina

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume na tabia ya kututemea mate masikioni wakati wa maandalizi ya tendo la ndoa

    Kwa uzi wako huo inadhihirisha kuwa wewe ni kamaliza,punguza mwendo dada kuna tuta.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Gest siku hizi kelele za wanawake kulia (screaming) zimepungua.....

    Hela za jasho hazichezewi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya papuchi: Nimemtikisa kibiriti amfukuze mdogo wake kakubali

    Wewe una roho ya kuni mbichi,kama shemejio anafanya kazi nzuri ya kukupikia ndo umsifie humu?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Huyu binti kanidhalilisha mno! I will revenge

    Hizi tabia niza wapi?hata shetani hafundishi hivyo.imefika wakati hata shetani tunamshinda.nenda kakemee hiyo laana haikuachi salama.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    *hebu nijaribu*
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Mkuu kwanza pole sana,Huyo hakufai mkimbie haraka iwezekanavyo,yaani amekufanya wewe mgodi alafu anakuona huna akili,kwa kifupi anacheza na akili yako.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu sio rafiki

    Watu wanatamani kupata wapole wewe unatamani mcharuko,nakupa pole kwani unakaribia kuruka jivu na kuukanyaga moto. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nina watu watatu, nataka kuachana na mmoja

    Wewe ushaachanganya miguu shida yako una tamaa kaa fisi nakwambia Siku sii nyingi tamaa zako zitakutokea puani Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania Top 10 ya list wanaoongoza kucheat ktk mahusiano

    Umesahau madereva hasa wa malori mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania I miss my ex man so much jamani

    Acha kabisa kumtapeli mbotwana wa watu kwa kweli unamaudhi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume na haraka ya ngono

    We unapoomba hela za nanihii una subira kweli Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wazazi hawataki nioe Mchaga

    Unachaguliwa wa kuoa kigezo kabila nani kati yako na wazazi atakayeishi nae
  13. K

    JamiiForums Tanzania James Rugemarila: Nitamsaidia Rais Magufuli kutumbua majipu

    Nijuzeni bandugu kwani Yuki nje au lupango
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naumizwa na mapenzi

    Ndiyo dawa za maumivu zipo meza paracetamol
Back
Top Bottom