Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,075
- 6,774
Hata mapadri wamcheat Mungu kwakuwa hufanya wakati hawatakiwi kabisa.
Cheating ni mtu tu haijalishi kazi yake. Tatizo wengi huwaza negatives tu kuwa mtu akifanya kazi za usiku anacheat, akiwa secretary boss akimtaka anacheat.