Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
SawaYaani asante kwa kunichekesha cause nimecheka kwa sauti nahisi mpaka neighbours wamenisikia si kwa usanii huo uwiiiiiiiiiiiiiiiii nakufa kwa kucheka

SawaYaani asante kwa kunichekesha cause nimecheka kwa sauti nahisi mpaka neighbours wamenisikia si kwa usanii huo uwiiiiiiiiiiiiiiiii nakufa kwa kucheka

Thanks a lotPole ndugu yangu,naomba uwe bize tu na maisha usiipe nafasi akiri ako kumuwaza yy,na tambua kwamba hyo ni binadamu ambae anaweza badilika muda wwte,lkn mungu habadiliki,jarbu kujichanganya na watu usikae lonely,
Nmekupenda buree,njoo PM kwanza tafadhar..nakuahd hutojutiaNo! kwanini umeniuzila kama mimi ni teacher?
Uwiiiii mbavu zangu
Basi ukimuona ngedere mjini, jua ana mwenyewe...Simu nikipiga hapokei anaweza akaibuka after 2 or 3 weeks then anasema im sorry nilikuwa na mambo mengi sana