salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
Ndio
wewe mshukuru mama yako maana alikuwa makini kitovu kikianguka kwenye sehemu ya siri ikigusa Basi hata madoctar huwa wanashauri kuwa seriousMwenzetu atafuta mtu aliyepata uhanisi accidentally bila ya kupendaHehehehe mkuu apo imekaaje hiyo???
Sasa kitovu kikianguka kwenye sehemu za siri inakuwaje..mkuu tufafanulie maana kwa wengi litakuwa geni hiliNdio![]()
![]()
![]()
wewe mshukuru mama yako maana alikuwa makini kitovu kikianguka kwenye sehemu ya siri ikigusa Basi hata madoctar huwa wanashauri kuwa serious
Sent using Jamii Forums mobile app
Subira yavuta heri..nakupongeza mkuu kutumia busara na kuwa mvumilivuMla Bata hayo machungu hata mimi yalinikuta. Unaweza ukaongea weee yeye anakutolea mimacho tuu.. Au unamchekesha anaishia kuonesha meno..
Ila kwasasa naenda nae sawa!!
Chatter boxNo,sio kutest zari. You just imagine all the time anakupigia simu anataka muongee. Ukipokea anaongea yeye tu. Me I'm doing this and this,this is this and this. Bla blah kibao. Too much pilipili,I decide not to ate that food![]()
![]()
I use to observe anyone since day one
Umenikumbusha ile nyimbo ya Z-Anto yule binti kiziwi...hahahahahah anacheka cheka na kutikisa kichwa tu haongei. Ila ni mrembo vibaya mnoMla Bata hayo machungu hata mimi yalinikuta. Unaweza ukaongea weee yeye anakutolea mimacho tuu.. Au unamchekesha anaishia kuonesha meno..
Ila kwasasa naenda nae sawa!!
Weee njoo pm uniambie nani Huyo.. Au nakuja mieHaaaa haaaa...huwezi amini hiyo njemba nishaijua Mase![]()
![]()
Tongoza tongoza hiyo![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app