Recent content by king mjuni

  1. king mjuni

    JamiiForums Tanzania Laptop

    Nahitaji laptop used aina kati ya hp, dell, lenovo na toshiba yenye hard disk kuanzia gb250 kwenda juu,,, ofa yangu ni sh 250,000 napatikana kwa namba 0779575664 nipo dsm
  2. king mjuni

    JamiiForums Tanzania TIN ya kwenye leseni ya udereva inaweza kutumika kwenye biashara?

    Samahani wadau naomba kuuliza mimi niliapply tin online na nikaipata walinitumia kwa email yao lengo kuanzisha biashara lakin mambo yangu yakaenda kombo nikashindwa kufugua biashara leo nimekuja kuitaka kutumia ile tin niliyopewaa naambiwa not found, je inawezekana tin kuepire muda wake wa...
  3. king mjuni

    JamiiForums Tanzania Yahusu uhitaji wa kununua simu

    Samsung A2 Core bei gan dukani?
  4. king mjuni

    JamiiForums Tanzania Polisi, mimi na mtuhumiwa

    Nishamtoa nashukur nilifata utaratbu wakamtoa bila ya hata hiyo pesaa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. king mjuni

    JamiiForums Tanzania Polisi, mimi na mtuhumiwa

    Samahani wanajamvi mimi nina swali na pia nisaidiwe:, Nina ndugu yangu yupo kituo cha polisi kwa kosa la kununua mali ya wizi:- Swali 1. Je naweza kupata dhamana yake? Swali 2. Je naweza kupata namna nzuri ya kumaliza kesi yake Swali 3. Je ni haki kukaa pale kituoni kwa siku mbili sasa Tatizo...
  6. king mjuni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Et umri ni kigezo muhimu au hata kama umevusha mwaka mmoja ni poa tu
  7. king mjuni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Ni watu 70 tu wanahitajika ilala au zaidi?
  8. king mjuni

    JamiiForums Tanzania MBINU:Jinsi ya kujiunga na jeshi la JWTZ na JKT

    Wanakuja kukujibu wasubiri
  9. king mjuni

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NBS

    Owkey nimekuelewaaa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. king mjuni

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NBS

    Jamani mikoaa ambayoo inafanyiwaa udadisi huoo ni ipi orodheshen maana natafuta siioni so kila mkoaaa unafanyiwaa hii kitu #ufafanuzi please Sent using Jamii Forums mobile app
  11. king mjuni

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    mnnh naloo neno limekuwaaa...
  12. king mjuni

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mkuu wa Mkoa atumbua walimu wakuu 63

    tutaona mengi
  13. king mjuni

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Uhakiki wa Wanafunzi wote Walioko Vyuo Vikuu kwa ngazi ya Shahada

    sasa hayo majina TCU hayapo na leo ndo tarehe tajwa hapol kwa TANGAZO sasa tuyaone wap??
  14. king mjuni

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya Afya kwa Course za MD na Pharmacy

    tuliza miterooooo kwan si umeshaakuwa selelected au!!!
  15. king mjuni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kuzaa nae

    duu hyo n kali
Back
Top Bottom