Selection za vyuo vya Afya kwa Course za MD na Pharmacy

jong afrikaanse

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
459
666
Za Asubuhi Wanajamvi!!

Kwa mlioappy vyuo vya UD, MUHAS, CUHAS na Hubert Kairuki kwenye course tajwa; kuna yeyote aliyefanikiwa kupata confirmation ya selection yake wakuu? Maana mwenzenu naona ni week ya pili sasa niko Provisionally Sellected ila hakuna update yeyote.

Naombeni msaada wa kimawazo pia maana naona bado siku 3 kufikia deadline ya Second Round Application na nashindwa kuapply kwani hakuna option ya kufanya hivyo kwenye profile yangu.
 
wote ni hivy hivy tu kuwa mpole
 
Mambo mazuri hayataki haraka mkuu wote ni hivyo hivyo usiwe na mzukaaa sanaaa tuliaaa
 
Za Asubuhi Wanajamvi!!

Kwa mlioappy vyuo vya UD, MUHAS, CUHAS na Hubert Kairuki kwenye course tajwa; kuna yeyote aliyefanikiwa kupata confirmation ya selection yake wakuu? Maana mwenzenu naona ni week ya pili sasa niko Provisionally Sellected ila hakuna update yeyote.

Naombeni msaada wa kimawazo pia maana naona bado siku 3 kufikia deadline ya Second Round Application na nashindwa kuapply kwani hakuna option ya kufanya hivyo kwenye profile yangu.
Tulia ushakuwa selected
 
tuliza miterooooo kwan si umeshaakuwa selelected au!!!
 
Back
Top Bottom