viongozi waliopewa dhamana ya kuhakikisha raia wanaishi kwa aman na uhuru nao wamechoka ,sasa raia kazi ni kwetu kudai haki yetu kwa gharama yoyote ,hawa wawekezaji wanyanyasaji sana ,eti wameajir watu 75 ,huu ni wizi mtupu ,na malipo yenyewe ni ya ajabu sana .cha muhim raia wa siha mwendo ni...