Hivi kwanini wanadada wanayo miandiko mizuri kushinda wanaume?

Hivi kwanini wanadada wanayo miandiko mizuri kushinda wanaume?

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,074
Najua hii ni general rule japokuwa zipo exceptions kwa maana wapo wanaume wenye miandiko mizuri, lakini kwa asilimia kubwa dada zetu wana miandiko mizuri ambayo hta akiandika kazi yake inavutia.swali langu ni je kwanini wanaume wengi miandiko yetu ni mibaya?? yaani kuna mtu yupo chuo ila muandiko wake unaweza ukasema aliruka la pili au bata alipita kwenye karatasi lake..watalaamu wa utafiti tusaidiane hili
 
Ni shidaaaaa sio wadada wote bana wengine miandiko yetu ni ligi aiseeee
 
Yani humu tungekua tunaandika kwa miandiko ya mikono yetu sijui ingekuaje hasa jukwaa la madokta...
 
shule hawajambo
msalimie mwalimu wako kamwambie jamiiforums hawaulizani miaka ila utajulikana tu kwa jinsi unavyoandika

endelea kujifanya mtabiri tu.....watanzania wengi ndo tabia zetu tunajifanya tunajua kumbe hatujui.......kama wewe hapo ushajipa kichwa unafahamau level yangu ya elimu,,,,
 
Ukimchunguza mwanamke utagundua kuwa mambo Yao slow kwa hiyo wanajitahidi kila wanacho fanya wasifiwe tofauti na mwanaume yeye ilimradi alichoandika ni sahihi inatosha
 
Ukimchunguza mwanamke utagundua kuwa mambo Yao slow kwa hiyo wanajitahidi kila wanacho fanya wasifiwe tofauti na mwanaume yeye ilimradi alichoandika ni sahihi inatosha

hii inaweza ikawa sababu pia
 
Jitazame wewe na wadada ni nani mzuri, ukipata jibu usimwambie mtu, siri yako.
Uzuri upi unaousema? Wanawake wana uzuri gani? Kama huu?

Woman-With-Gold-Teeth-Ugly-Chick-Mugshot.jpg
Ugliest-woman.jpg

Z
 
Mbona hujiulizi kwa nini wanajiremba?, lengo lao nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom