Hii Shule ni Nzuri sana! Nimeipenda

Hii Shule ni Nzuri sana! Nimeipenda

hiyo shule iko karibu na lerai sek haina mti wala ua halafu umesema uongo mwingi sana kiasi mtu akija hapo lerai anaweza akutukane sana hii ni shule inajengwa bado mazingira fake ni mabovu sana
 
Mkurugenzi mvona Unafanya biashara kihuni huni?
 
Promo safi ya kijanja, ila kwa taarifa tu mtihani wa Kidato cha Pili sio wa Taifa (isipokuwa kuanzia mwaka huu) na kuna shule zaidi ya 40 (kitaifa) unless ulimaanisha kimkoa (hata hapo nadhani zipo zaidi)

Bdo nawaza hzo shule 40 ni za wap???
 
Kwa kukaa na wanafunzi siku moja tu ukajua wananidhamu.....!!!
 
Kama mazingira ya shule wameshindwa kuyaandaa, wataweza kumuandaa mtoto?
Ondoa promo yako ya kipuuzi!
 
hiyo shule iko karibu na lerai sek haina mti wala ua halafu umesema uongo mwingi sana kiasi mtu akija hapo lerai anaweza akutukane sana hii ni shule inajengwa bado mazingira fake ni mabovu sana

aisee mkuu hebu eleza kwa uzuri kidogo
kwa sababu mleta mada mwenyewe kakubali kuwa mazingira siyo mazuri,
na inawezekana wewe unaijua.
vipi kiacademic wakoje? performance inayozungumziwa hapo na bashiru ni kweli? displine anayosema ni kweli? iko umbali gani from main road?
asante.
 
Chemka is just a fountain of water in forcefull emision from underground ,hapo unapotosha kwa kusema chemka ni hot spring ,hata data za perfomance za hiyo shule ni za uongo .
 
hiyo shule iko karibu na lerai sek haina mti wala ua halafu umesema uongo mwingi sana kiasi mtu akija hapo lerai anaweza akutukane sana hii ni shule inajengwa bado mazingira fake ni mabovu sana

una uhakika na unachoongea?
 
Back
Top Bottom