suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
umetisha mkuu
Msinigeuze wali kunila mkinisema siku nitakayoamua punje zote mtazitema
umetisha mkuu
Eti inamaji mengi Mpaka mashahidi wa Yehova wanaogelea!!
Simu salio wala si milio
Mwanaume pesa' sura hata kuku anayo!
Chafya ya mpishi haizmi moto
Mapenzi ni mawasiliano, ukimya peleka maktaba..
Kwanza we kabila gani? Halafu inaonekana una miuno balaa maana haupitwi ati teh.
Ukiwa mnafiki ujanani utakua mchawi uzeeni
dah mleta mada kaingia penyewe mkuu
Maisha pesa mipango peleka chuoni
Usijisifu una mpenzi msifu na anae kuchukulia...ana plan za ajabu had leo hujamjua
Heheheiyyyyaaaa.....