Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,485
- 2,752
- Thread starter
- #21
Kwani Lowassa ni Mmasai? Lema wa Arusha naye ni Mmasai/Muarusha? Aden Rage ni Mnyamwezi? Wenje naye ni Msukuma?
Sheria hailazimishi kuwa Mgombea lazima awe wa Kabila asilia ili agombee nafasi ya uongozi.
Vv
asante mkuu kwa kuwapa darasa hao