kbosho
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 13,073
- 6,639
Yule mama Mkuu wa Wilaya
tena alikuwa ni Mbunge
mwenzangu, tunafahamiana na
ni kabila langu. Hana uwezo Rais
Kikwete anambeba, amuondoe
ameshindwa kulinda amani,
amekuwa akibagua na kuegemea
ukabila, RC naye awajibishwe,
alisisitiza.
Kwa Maneno hayo hakika Dr Slaa ni Kiongozi. Heko Rais wangu. Dr Slaa.
tena alikuwa ni Mbunge
mwenzangu, tunafahamiana na
ni kabila langu. Hana uwezo Rais
Kikwete anambeba, amuondoe
ameshindwa kulinda amani,
amekuwa akibagua na kuegemea
ukabila, RC naye awajibishwe,
alisisitiza.
Kwa Maneno hayo hakika Dr Slaa ni Kiongozi. Heko Rais wangu. Dr Slaa.