Recent content by kindaboyi

  1. kindaboyi

    Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

    Narudia Tena January hafai kuongeza wizara atenguliwe mara moja vinginevyo ataendelea kuliingiza TAIFA shimoni
  2. kindaboyi

    Chanzo cha Mgogoro Mashariki ya Kati. You must read this

    Mgogoro wa Israel vs Palestine hua unachosha sana ukiuusoma kila upande unavutia kwake, mpaka Leo sijui sababu na chanzo halisi cha huu mgogoro ambaye anajua atusaidie lkn iwe uhalisia bila kuegemea upande wowote[emoji848][emoji848][emoji848]
  3. kindaboyi

    Njia gani nitumie kudai deni?

    Nilimkopesha bila riba lkn imeshapita miezi kadhaa sasa
  4. kindaboyi

    Nifuate utaratibu gani kupata uwakala kama NMB Wakala pamoja na till namba za mitandao ya simu?

    Watu wengi wanaotoa huduma binafsi za kifedha kama NMB WAKALA, CRDB WAKALA, M PESA, TIGO PESA n.k huwa unakuta TILL namba siyo za majina yao na siyo kwamba wanapenda lahasha! Pengine ni kutokujua taratibu za kufuata kupata Till ambazo zinaendana na majina yao wanaaumua kutumia shotkat kununua...
  5. kindaboyi

    Njia gani nitumie kudai deni?

    Hii njia ya kwanza lazima ntaitumia
  6. kindaboyi

    Njia gani nitumie kudai deni?

    Anategemea mshahara na boss wake alishanishauri nimpeleke mahakamani
  7. kindaboyi

    Njia gani nitumie kudai deni?

    Kusamehe ni ngumu sana mm mwenyewe maji shingoni
  8. kindaboyi

    Njia gani nitumie kudai deni?

    Nimemfuata kiustarabu imeshindikana, nimemfuata kiukali lkn wap, nimeongea na watu wake wa karibu pamoja na familiya yake nimeambulia patupu, nikamtishia kumpeleka mahakamani akasema hatukuandikishiana popote hamna shahidi, sasa jamani nitumie njia gan nyingine nilipwe deni langu? Naombeni ushauri
  9. kindaboyi

    Jambo gani umewahi kusingiziwa likakudhalilisha kwenye jamii?

    Eti nimempa mimba mama mwenye nyumba, yaani nikifikiria hua naumia sana
  10. kindaboyi

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Mm hapo mmeniacha kabisa mngeweka na kirefu cha hizo initial tuelewe Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kindaboyi

    Series nilizowahi tazama na ninazotazama sasa

    Hivi wadau hii serie ya Strike Back naweza ipata wap maana nimeangaika sana lkn wap
  12. kindaboyi

    Alfu lela u lela: Kisa cha punda, fahari na mkulima

    Mkuu mbona unatuonjesha asali alafu kimya! Kama vip tupia mwendelezo hapo tuburudike
  13. kindaboyi

    Rais Magufuli, ni wakati muafaka "Ikulu" irudishwe kwa wenyewe, Waislam

    Huwezi kuzungumzia uislamu bila kutaja uarabu
  14. kindaboyi

    Rais Magufuli, ni wakati muafaka "Ikulu" irudishwe kwa wenyewe, Waislam

    Kwa hiyo mwarabu alipotaifishwa alisema kataifishwa mali yake au mali ya waislamu?
  15. kindaboyi

    Taja tabia yako ujue nani ana tabia kama yako

    Ukiwa mpole huwezi kua na hasira kali Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom